Ellen Evangelistic Singers

Ellen Evangelistic Singers Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ellen Evangelistic Singers, Evangelical church, Dar es Salaam.

Ellen Evangelistic Singers is a group that seeks to provide various social services and spread the word of God in Tanzania and beyond through singing and preaching.

Shalom wapendwa! Kuna marafiki wa Ellen Singers waliguswa na tukio tuliloandaa mwezi wa Nne. Wameomba tushirikiane kuand...
17/05/2021

Shalom wapendwa!
Kuna marafiki wa Ellen Singers waliguswa na tukio tuliloandaa mwezi wa Nne. Wameomba tushirikiane kuandaa tukio lingine, hii ni maalum kwa wajane, wagane na wapweke wa Kigamboni. Tunaomba mtusaidie kuwafikishia ujumbe huu wale mnaowafahamu. Mtoko huu hauna dini, mtu yeyote mwenye sifa hizo anakaribishwa, MUHIMU TU AJIANDIKISHE

PROF:PENDO  AKIZUNGUMZIA TAMASHA LA KUGUSA MAISHA YA WATU/WAJANE/WAPWEKE.
30/04/2021

PROF:PENDO AKIZUNGUMZIA TAMASHA LA KUGUSA MAISHA YA WATU/WAJANE/WAPWEKE.

Picha za Matukio Mbalimbali ya Tamasha la Gusa Maisha Season3
30/04/2021

Picha za Matukio Mbalimbali ya Tamasha la Gusa Maisha Season3

Bado Siku Tano!
20/04/2021

Bado Siku Tano!

16/04/2021

Tunawakaribisha Kwenye Msimu wa Tatu wa "Gusa Maisha" - GUSA MAISHA SEASON 3

MIMI NA NYUMBA YANGU TUTAMTUMIKIA BWANA!ELLEN SINGERS KUPITIA PROGRAMU YAO YA GUSA MAISHA JUMAPILI TAREHE 25/4/2021 WAME...
14/04/2021

MIMI NA NYUMBA YANGU TUTAMTUMIKIA BWANA!

ELLEN SINGERS KUPITIA PROGRAMU YAO YA GUSA MAISHA JUMAPILI TAREHE 25/4/2021 WAMENDAA TUKIO MAALUM LA FARAJA KWA WAJANE NA WAPWEKE WOTE JIJINI DAR ES SALAAM KATIKA UFUKWE WA KIGAMBONI (JINA MTAJULISHWA BAADA YA KUWASILIANA NAO). WALE WANAOTAMANI KUSHIRIKI TUKIO HILI WATHIBITISHE USHIRIKI WAO KWA NAMBA 0754822532.

USAFIRI UTAKUWEPO KUANZIA MWENGE NA MWINGINE UTAANZIA BARUTI KWENDA KIGAMBONI NA KURUDI KATIKA VITUO HIVYO

CHAKULA NA MADA TAMU ZITATOLEWA. KUTAKUWA NA VIBURUDISHO, MICHEZO NA PROGRAMU ZA KUONYESHA VIPAJI VYETU.

NYOTE MNAKARIBISHWA. THIBITISHA USHIRIKI WAKO KABLA YA ALHAMIS TAREHE 22/4/2021 saa 12 jioni.

UPATAPO TAARIFA HII MJULISHE NA MWINGINE!

Mawasiliano: 0754822532

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ellen Evangelistic Singers posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share