05/09/2026
Kampeni ya BIBLIA KWANZA ilivyoanza kwa kishindo cha maombi Leo Septemba 05,2026.
Uzinduzi wa Kampeni hiyo unaashiria kufunguliwa rasmi kwa mbio za Usomaji BIBLIA NZIMA , kuanzia Kitabu cha MWANZO hadi UFUNUO kwa Siku 84 , mbio zitakazoanza siku ya Jumatatu Septemba 07,2026 na kuhitimika Disemba 31,2026.
Jisajili sasa kupitia Link hii hapa
https://kingdomsystem.gamanywaconsult.com/register/
Unaweza kupiga simu namba
+255 724 977 126 AU +255 625 792 022 ili kupata usaidizi wa namna ya kujisajili na kuungana na Watanzania wengine katika zoezi la usomaji BIBLIA kwa dakika 90 kila siku Jumatatu hadi Ijumaa.