Taifa La MUNGU

Taifa La MUNGU Neno la Mungu kila siku �
Mahubiri • Mafundisho • Maombi
Jenga imani yako, Karibu Taifa la Mungu �

12/05/2026

Kuna faida kubwa katika kumtumaini Mungu.


Kuna nyakati maisha yanakuwa mazito mpaka unaanza kujiuliza k**a Mungu bado anakusikia.Unaomba… lakini majibu hayaji. Un...
12/05/2026

Kuna nyakati maisha yanakuwa mazito mpaka unaanza kujiuliza k**a Mungu bado anakusikia.
Unaomba… lakini majibu hayaji. Unapambana… lakini mambo hayaendi k**a ulivyotarajia.

Katika hali hii usifikiri kimya cha Mungu ni ishara kwamba amekuacha. Wakati mwingine Bwana hunyamaza ili akufundishe kumtegemea zaidi kuliko mazingira unayoyaona mbele yako.

Imani ya kweli haioneshwi wakati kila kitu kiko sawa…
inaonekana pale ambapo bado unaendelea kuamini hata ukiwa huoni njia kwa uwazi.

Usikate tamaa.
Mungu bado anaendelea kushughulika na maisha yako hata k**a macho yako bado hayaoni majibu.
k**a ambavyo biblia inaeleza katika kitabu cha — 2 Wakorintho 5:7 “Maana tunaishi kwa imani, Na si kwa kuona.”

Mpendwa mwana wa Mungu, usibebe mzigo wa wiki hii peke yako.Kabidhi kila jambo kwa Bwana kwa imani na utulivu wa moyo.Mu...
11/05/2026

Mpendwa mwana wa Mungu, usibebe mzigo wa wiki hii peke yako.
Kabidhi kila jambo kwa Bwana kwa imani na utulivu wa moyo.
Mungu anayekutangulia anaijua njia na daima hawezi kukupeleka kwenye uharibifu.

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Taifa La MUNGU posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share