URC Church

URC Church Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from URC Church, Religious organisation, Ukonga Magereza, Dar es Salaam.

30/08/2026

BWANA YESU ASIFIWE SANA.
KARIBU UABUDU NASI MUBASHARA KUTOKA KANISA LA TAG UKONGA

26/08/2026

MKUTANO WA INJILI SIKU YA NNE (4) KUTOKA VIWANJA VYA UKONGA MTAA WA KISONDO ENEO LA NZEGA BAR
TAREHE 26 AGOSTI 2026.

25/08/2026

MKUTANO WA INJILI SIKU YA TATU (3) KUTOKA VIWANJA VYA UKONGA MTAA WA KISONDO ENEO LA NZEGA BAR
TAREHE 25 AGOSTI 2026.

Neema ya Mungu iwaokoayo wanadamu wote imefunuliwa Kisondo -Kichangani (Ukonga Dsm)🔥🔥🔥🔥 Mhubiri ni Mwinjilisti wa Taifa,...
24/08/2026

Neema ya Mungu iwaokoayo wanadamu wote imefunuliwa Kisondo -Kichangani (Ukonga Dsm)🔥🔥🔥🔥 Mhubiri ni Mwinjilisti wa Taifa,Alfred Mtinda

Tunaendelea na Mkutano mpaka Jumapili ya Tarehe 31/08/2026.

Wote Mnakaribishwa🤝

Mkutano wa Injili 🔥🔥🔥Recap 📸
24/08/2026

Mkutano wa Injili 🔥🔥🔥

Recap 📸

Tunaendelea na Mkutano mkubwa wa injili unafanyika katika viwanja cha Kisondo-Nzega Bar (Kichangani)🔥🔥🔥Wote Mnakaribishw...
24/08/2026

Tunaendelea na Mkutano mkubwa wa injili unafanyika katika viwanja cha Kisondo-Nzega Bar (Kichangani)🔥🔥🔥

Wote Mnakaribishwa 🤝

Tumepata Neema ya Kuhudumiwa na Mwinjilisti wa Taifa,Alfred Mtinda kwenye ibada ya Jumapili hii🔥SOMO:SILAHA ZAKO UNAZINO...
24/08/2026

Tumepata Neema ya Kuhudumiwa na Mwinjilisti wa Taifa,Alfred Mtinda kwenye ibada ya Jumapili hii🔥

SOMO:SILAHA ZAKO UNAZINOLEAGA WAPI??
MAANDIKO:Mhubiri 10:10, 1 Samweli 13:19-22,14:13-14

》Mwindaji yoyote mwenye Silaha Kali atajiamini dhidi ya mnyama yoyote mkali ila mwenye Silaha Butu hukosa kujiamini dhidi ya mnyama yoyote mkali
》Mtu mwenye Silaha BUTU hutumia nguvu kubwa sana kukata kitu mf.Mti,nyama n.k
》Sisi k**a Wakristo tunazo Silaha za Kiroho,je ni kali au ni butu dhidi ya adui yako (shetani)?

Silaha tulizopewa
1.Neno la Mungu
》Mkristo anayetumia Neno la Mungu k**a silaha yake dhidhi ya adui yake nki mshindi siku zote
》Biblia inaliita Neno la Mungu k**a Upanga Ukatao kuwili (nyuma na mbele unakata)
》Litumie Upanga hata kwenye maombi yako

2.Maombi
》Utaombewa mpaka Lini? majaribu yakikupata utalia mpaka lini? Huo ni BUTU wa Silaha yako
》Adui huwa akijua ni muombaji anakukimbia,ila wengi tumepoteza silaha hii sababu ya UBUTU wetu hivyo usababisha adui haogopi

3.Kujaa Roho Mtakatifu
》Hii ni silaha adui anayoiogopa sana pale unapoitumia kumshambulia shetani

4.Ushuhudiaji
》Silaha hii inakuimalisha kila siku katika kunoa silaha yako ya ndani na kuhuishwa kila siku
》Shida wengi tumiacha silaha hii ndio maana wengi ni BUTU na kukubaliana kuwa na marafiki wa dunia uovu wao bila kuwakemea au kuwashuhudia

Hivyo,Mkristo ukijiona Silaha zako ziko BUTU
A)Jinoe Mwenyewe
》Tenga mda wako ili ujinoe mwenyewe uwe silaha kali inayong'aa adui akiiona aogope kuikaribia

B)Tafuta majitu/marafiki yanayojinoa zaidi yako ili mnoane
》Maana ukikaa bila kujinoa utakuwa Butu tu

Mwendelezo wa Somo hili utaupata kwenye kurasa zetu za kijamii
YouTube: URC UKONGA TV
Facebook:URC_CHURCH

Address

Ukonga Magereza
Dar Es Salaam
11000

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when URC Church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to URC Church:

Shortcuts

Share