Elisha Daudi Manyakenda

Elisha Daudi Manyakenda Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Elisha Daudi Manyakenda, Evangelical church, Dar es Salaam.

Tunaitazama kesho yetu kwa ujasiri tukiwa na Imani kwa MUNGU iliyojaa uhakika kwamba hata tukipita katika maji mengi hay...
24/11/2025

Tunaitazama kesho yetu kwa ujasiri tukiwa na Imani kwa MUNGU iliyojaa uhakika kwamba hata tukipita katika maji mengi hayata tugarikisha tutatoka salama. Jenga IMANI kupitia NENO LA MUNGU.

Hello 👋
06/11/2025

Hello 👋

Usichoke kusubiri ahadi za MUNGU kutumia kwako kila jambo hutimia katika msimu wake hivyo kuna Mazingira yatakukatisha t...
28/06/2025

Usichoke kusubiri ahadi za MUNGU kutumia kwako kila jambo hutimia katika msimu wake hivyo kuna Mazingira yatakukatisha tamaa lakini hayawezi kuondoa mpango wa MUNGU kwako endelea kuomba # Amini NENO LA MUNGU ushidi ni lazima.

24/04/2025
Happy Day..GOD has done again....Glory be to GOD
25/01/2025

Happy Day..GOD has done again....Glory be to GOD

Kazi nzuri, MAFUNDI.
27/07/2023

Kazi nzuri, MAFUNDI.

Leo katika ibada kubwa ya mlipuko wa IBADA katika viwanja vya UHURU.
22/07/2023

Leo katika ibada kubwa ya mlipuko wa IBADA katika viwanja vya UHURU.

20/06/2023

YESU yuko full Music 🤣🤣🤣🤣

BAJETI YA SERIKALI YAWASILISHWA BUNGENI LEO TAREHE 15 JUNE.
15/06/2023

BAJETI YA SERIKALI YAWASILISHWA BUNGENI LEO TAREHE 15 JUNE.

14/06/2023

Vijana wa YESU toka mikoa yote Tanzania Bara na Visiwani Wakusanyanyika Dodoma Kumsifu MUNGU na kumwabudu Katika ukumbi wa chuo Cha Biblia CENTRAL BIBLE COLLEGE (CBC-DODOMA).

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Elisha Daudi Manyakenda posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share