Tafakari ya Neno la Uzima

Tafakari ya Neno la Uzima Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tafakari ya Neno la Uzima, Religious organisation, Dar es Salaam.

30/01/2023
⭕📖Yeremia 31:33 Bwana alinitokea zamani, akisema, Naam nimekupenda kwa upendo wa milele, ndiyo maana nimekuvuta kwa fadh...
28/01/2023

⭕📖Yeremia 31:3
3 Bwana alinitokea zamani, akisema, Naam nimekupenda kwa upendo wa milele, ndiyo maana nimekuvuta kwa fadhili zangu.

✝️ TAFAKARI
✔️Ni nani k**a Baba yetu wa mbinguni?amesema ametupenda kwa upendo wa milele,je ni upendo upi unaoweza kuzidi upendo wa Mungu wetu? Ni upendo upi unaweza kudumu milele k**a wa Mungu wetu?
✔️Wanadamu wanaweza kutukataa, wanadamu wanaweza kutupenda kwa kitambo tu, lakini yeye anasema anatumia fadhili zake kutuvuta kwenye upendo wake, ndani ya upendo wake anaturehemu,kwa upendo wake ametupatia kuhesabiwa haki kwa kumtoa mwanawe kwa ajili ya dhambi zetu,kwa upendo huo anatusamehe na kutuponya ndoa, uchumi, huduma, mahusiano,elimu,kazi, biashara,uzao wetu na kila eneo la maisha yetu.
✔️Wakati watu wanaona hatufai, Mungu anasema"njoo mwanangu,wewe ni thamani sana kwangu,nimekupenda na kuheshimu (📖Isaya 43:4)" anatupokea kwa sababu upendo wake una nguvu ya kutuvuta kwa kifo cha Yesu Kristo pale msalabani(📖Yohana 12:32),anatufanya upya na kutung'arisha tena kwa ajili ya utukufu wake.
✔️Iambie nafsi yako⤵️
➖"Ee nafsi yangu unapendwa sana na Mungu,yeye ndiye chemichemi ya uzima wako"
➖"Ee nafsi yangu usifadhaike, wala usiiname, umtukuze na kumuabudu Mungu milele, ee nafsi yangu,maana fadhili za Mungu zimekuvuta"
➖"Ee nafsi yangu unapendwa sana na Mungu,umhimidi Bwana Mungu milele yote ee nafsi yangu",kwa jina la Yesu Kristo, Amina.

24/01/2023

☑️MAOMBI KWA AJILI YA MOYO (MADHABAHU YA MUNGU NDANI YA MTU)

➡️ VIDEO NZIMA IPO YOU TUBE,SUBSCRIBE NA KUSHARE KWA UTUKUFU WA MUNGU,YOU TUBE ACCOUNT ⤵️

⭕MWALIMU ROSE DAMIAN

🔘 SEHEMU YA TAFSIRI YA NDOTO KUHUSU KUOTA UNASHIKWA BEGANI ⭕ MUNGU ANAKUJULISHA KUWA ⤵️✅ Kwenye  Bega ni sehemu mojawapo...
05/01/2023

🔘 SEHEMU YA TAFSIRI YA NDOTO KUHUSU KUOTA UNASHIKWA BEGANI 

⭕ MUNGU ANAKUJULISHA KUWA ⤵️

✅ Kwenye  Bega ni sehemu mojawapo katika ulimwengu wa roho ambapo uweza wa kifalme yaani mamlaka ya kifalme hukaa. Hivyo inategemea aliyekugusa alikuwa na nia gani moyoni,k**a ni mguso wa Mungu unakuwa unaongezewa nguvu ya kumiliki na kutawala.(Mamlaka)(📖 Isaya 9:6 )

✅Pia Mungu anaweza kumshika mtu bega ili kurarua ufalme wake,endapo huyo mtu amejiinua kinyume na Mungu,hivyo anaiondoa mamlaka yako na kuishusha.(📖 Ezekiel 29:7,9📖Daniel 7:25-27 )

✅Bega lina muunganiko na sikio la rohoni,bega likipigwa, uwezo wa kusikia hupigwa,vivyo hivyo Mungu akikushika bega anakuongezea na uwezo wa kumsikia yeye, sauti ya Mungu ina nguvu hivyo huongeza mamlaka kupitia kusikia sauti yake.( 📖Ezekiel 7:11, 📖Zaburi 29:4 )

✅Kwenye mkono wa kulia katika roho ni eneo ambapo kuna wingi wa siku za kuishi za mtu,ukiguswa na mkono wa Mungu unaongezewa siku,ukiguswa na mkono wa adui unapunguziwa siku.Kwenye mkono wa kushoto ni eneo katika ulimwengu wa roho ambapo hukaa utajiri na heshima,hivyo adui akigusa anaondoa utajiri na heshima, ukiguswa na mkono wa Mungu ambao si wa ghadhabu yake,anakuongezea utajiri na heshima.( 📖Mithali 3:16 ).

✅Kwenye bega pia katika ulimwengu wa roho ni mahali funguo za mamlaka zinakaa, zinazokuja kufunga na kufungua malango katika ulimwengu wa roho,hivyo ukiguswa na mkono wa adui,anakuwa anakuondolea hii mamlaka,ukiguswa na mkono wa Mungu anakuwa anakupa funguo/hii mamlaka (📖 Isaya 22:22,📖Mathayo 16:19 )

🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

✅ILI KUJIUNGA GROUP ZETU ZA WHATSAPP TUMA UJUMBE KWENYE 0716 549 006.

✅KUJIUNGA TELEGRAM BONYEZA LINK KWENYE BIO HAPO JUU.

🔘 SEHEMU YA TAFSIRI YA NDOTO KUHUSU KUOTA UNASHIKWA BEGANI ⭕ MUNGU ANAKUJULISHA KUWA ⤵️✅ Kwenye  Bega ni sehemu mojawapo...
04/01/2023

🔘 SEHEMU YA TAFSIRI YA NDOTO KUHUSU KUOTA UNASHIKWA BEGANI 

⭕ MUNGU ANAKUJULISHA KUWA ⤵️

✅ Kwenye  Bega ni sehemu mojawapo katika ulimwengu wa roho ambapo uweza wa kifalme yaani mamlaka ya kifalme hukaa. Hivyo inategemea aliyekugusa alikuwa na nia gani moyoni,k**a ni mguso wa Mungu unakuwa unaongezewa nguvu ya kumiliki na kutawala.(Mamlaka)(📖 Isaya 9:6 )

✅Pia Mungu anaweza kumshika mtu bega ili kurarua ufalme wake,endapo huyo mtu amejiinua kinyume na Mungu,hivyo anaiondoa mamlaka yao na kuishusha.(📖 Ezekiel 29:7,9📖Daniel 7:25-27 )

✅Bega lina muunganiko na sikio la rohoni,bega likipigwa, uwezo wa kusikia hupigwa,vivyo hivyo Mungu akikushika bega anakuongezea na uwezo wa kumsikia yeye, sauti ya Mungu ina nguvu hivyo huongeza mamlaka kupitia kusikia sauti yake.( 📖Ezekiel 7:11, 📖Zaburi 29:4 )

✅Kwenye mkono wa kulia katika roho ni eneo ambapo kuna wingi wa siku za kuishi za mtu,ukiguswa na mkono wa Mungu unaongezewa siku,ukiguswa na mkono wa adui unapunguziwa siku.Kwenye mkono wa kushoto ni eneo katika ulimwengu wa roho ambapo hukaa utajiri na heshima,hivyo adui akigusa anaondoa utajiri na heshima, ukiguswa na mkono wa Mungu ambao si wa ghadhabu yake,anakuongezea utajiri na heshima.( 📖Mithali 3:16 ).

✅Kwenye bega pia katika ulimwengu wa roho ni mahali funguo za mamlaka zinakaa, zinazokuja kufunga na kufungua malango katika ulimwengu wa roho,hivyo ukiguswa na mkono wa adui,anakuwa anakuondolea hii mamlaka,ukiguswa na mkono wa Mungu anakuwa anakupa funguo/hii mamlaka (📖 Isaya 22:22,📖Mathayo 16:19 )

🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

✅ILI KUJIUNGA GROUP ZETU ZA WHATSAPP TUMA UJUMBE KWENYE 0716 549 006.

✅KUJIUNGA TELEGRAM BONYEZA LINK KWENYE BIO HAPO JUU.

⭕ UJUMBE NDANI YA NDOTO ZIHUSUZO BEGA.✔️Nenda mbele za Mungu tena,umuulize k**a ule ulikuwa ni mkono wake au la,k**a ni ...
04/01/2023

⭕ UJUMBE NDANI YA NDOTO ZIHUSUZO BEGA.

✔️Nenda mbele za Mungu tena,umuulize k**a ule ulikuwa ni mkono wake au la,k**a ni mkono wake ni kuingia katika kumshukuru kwa mamlaka yake,kwa sauti yake,kwa funguo zake na kwa wingi wa siku, k**a ni mkono wa adui,ujue kuna namna ulikiuka maagizo ya Mungu ukajiona kinyume na Mungu na hivyo Mungu ameiona mamlaka yako,sauti yake imezuiliwa,funguo kaziondoa na umepunguziwa wingi wa siku. Toba ya kweli itakupa kumkaribia Mungu tena na kurejeshewa. Kumbuka mkono wa adui hauwezi kukugusa k**a hakuna mlango (k**a hakupewa nafasi),ni lazima iwepo hati ya mashtaka ndipo adui akuguse au la awe ameruhusiwa na Mungu k**a ilivyokuwa kwa Ayubu (📖 Waefeso 4:27, 📖Wakolosai 2:13-14 ),ndio maana hatua ya kwanza ni Toba .

⭕ ANZA NA HATUA HIZI⤵️

 1️⃣Mshukuru Mungu kwa kufunua hayo (📖 Daniel 2:20-23 ).

 2️⃣Omba rehema ili ufunguliwe mlango wa kupakaribia patakatifu pake kuzungumza na Mungu (📖 Waebrania 10:19,📖Waebrania 2:17,📖Waebrania 7: 26,📖Zaburi 102:12-13 )

3️⃣Muombe Mungu Roho Mtakatifu akufunulie mkono ule ulikuwa ni wa nani, inaweza mtu katumia sura(📖 2Wakoritho 11:13-15 ) ya huyo uliyemuona anakushika,au ikawa ni yeye kweli katumiwa na Mungu au miungu ,muulize Mungu k**a mkono ule ulitokana na yeye au la(📖 1Wakoritho 2:9-15 ),ndipo utajua hatua inayofuata uombeje.

4️⃣ Mshukuru Mungu kwa kukusikia na kukuinulia msaada kutoka patakatifu pake (📖 Zaburi 20:1-2,📖Isaya 65:24)

🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

✅ILI KUJIUNGA GROUP ZETU ZA WHATSAPP TUMA UJUMBE KWENYE 0716 549 006.

✅KUJIUNGA TELEGRAM BONYEZA LINK KWENYE BIO HAPO JUU.

29/12/2022

⭕📖Isaya 43:4

4 Kwa kuwa ulikuwa wa thamani machoni pangu, na mwenye kuheshimiwa, nami nimekupenda; kwa sababu hiyo nitatoa watu kwa ajili yako; na kabila za watu kwa ajili ya maisha yako.

✅Karibuni Whatsapp group na Telegram kwa mafundisho, vipengele vya maombi na tafsiri za ndoto kwa utukufu wa Mungu.

☎️Tuma ujumbe kwenye namba 0716 549 006 ili kuungwa kwa utukufu wa Mungu.

27/12/2022

🔥🔥🔥

🔘 TAFAKARI TUNAPOMALIZA MWAKA 2022 .‼️ SI KILA CHAKULA NI CHA KUKILA,SI KILA MWALIKO NI WA KWENDA . ‼️ VYAKULA VINGINE V...
27/12/2022

🔘 TAFAKARI TUNAPOMALIZA MWAKA 2022 .

‼️ SI KILA CHAKULA NI CHA KUKILA,SI KILA MWALIKO NI WA KWENDA .

‼️ VYAKULA VINGINE VIMEKUSUDIWA KUTOLEWA SADAKA KWA MIUNGU,NA UKIVILA UNAINGIZWA KWENYE AGANO LA KUMSUJUDIA MIUNGU YA HUYO MTU, WENGINE WANAWEZA KULETEWA NYAMA ZILIZOCHINJWA NA KUNENEWA MANENO YA KIAGANO NA MIUNGU,NI VYAKULA VIMEBEBA MAUTI YA KIROHO NA KIMWILI(📖Isaya 28:18).

☑️ OMBA MUNGU ROHO MTAKATIFU AKUONGOZE KATIKA KILA MWALIKO UTAKAOALIKWA NA KILA CHAKULA UTAKACHOKULA,IWE NI KWA KIBALI CHA MUNGU MWENYEWE,NA UKISIKIA MOYO WAKO UMEGOMA USIENDE(📖Wakolosai 3:15),NA USITUMIE HIZO NYAMA UTAKAZOPEWA(📖2Wakoritho 2:9-12) .

📖 Hesabu 25:1-3

1 Basi Israeli akakaa Sh*timu, kisha watu wakaanza kuzini pamoja na wanawake wa Moabu;

2 kwa kuwa waliwaalika hao watu waende sadakani, sadaka walizowachinjia miungu yao; watu wakala chakula, wakaisujudu hiyo miungu yao .

3 Ikawa Israeli kujiungamanisha na Baal-peori ; hasira za Bwana zikawaka juu ya Israeli .

📖 Matendo 15:20

20 bali tuwaandikie kwamba wajiepushe na unajisi wa sanamu, na uasherati, na nyama zilizosongolewa , na damu .

📖 Acts 15:20
"but that we write to them that they are to abstain from anything that has been contaminated by [being offered to] idols and from sexual impurity and from [eating the meat of ] what has been strangled and from [the consumption of] blood."

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tafakari ya Neno la Uzima posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Tafakari ya Neno la Uzima:

Share