Pugu Central Youth Ministries

Pugu Central Youth Ministries Ukurasa rasmi wa Idara ya Vijana ya Kanisa la Waadventista wa Sabato Pugu Kati | SDA Youth Ministries

Happy birthday to you Mr. August God may bless you uishi maisha marefu yenye baraka tele
19/08/2026

Happy birthday to you Mr. August God may bless you uishi maisha marefu yenye baraka tele

One voice together us one........
19/08/2026

One voice together us one........

Tumaini letu tutakutana Asubuhi iliyo njema, umevipiga vita vizuri vya Imani mwendo umeumaliza.Pole kwa Kanisa la kinyer...
03/08/2026

Tumaini letu tutakutana Asubuhi iliyo njema, umevipiga vita vizuri vya Imani mwendo umeumaliza.

Pole kwa Kanisa la kinyerezi, waumini na washiriki wa kanisani kwa ujumla na kwaya ya kanisa kwa kuondokewa na mpendwa wenu, kanisa la Pugu central tuko Pamoja nanyi katika kipindi hiki kigumu Bwana awemfariji.

Bwana alitwaa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe

29/07/2026
Asanteni sana wazee wetu wa kanisa kwa ushirikiano mkubwa kwa vijana wetu katika tukio maalamu la idara ya vijana, Mungu...
27/07/2026

Asanteni sana wazee wetu wa kanisa kwa ushirikiano mkubwa kwa vijana wetu katika tukio maalamu la idara ya vijana, Mungu awabariki sana baraka za Bwana ziwe nanyi siku zote amen

Sabato ya msisitizo wa Idara ya Huduma za vijana Pugu. Vijana tulibarikiwa na kiongozi wetu Mr. Nixon Kimboya.Tukutane C...
26/07/2026

Sabato ya msisitizo wa Idara ya Huduma za vijana Pugu. Vijana tulibarikiwa na kiongozi wetu Mr. Nixon Kimboya.

Tukutane Chimala mbeya..........

Asante hakika tumebarikiwa sana Bwana akubariki, vijana tumeona urithi wetu tulio usahau.
26/07/2026

Asante hakika tumebarikiwa sana Bwana akubariki, vijana tumeona urithi wetu tulio usahau.

LEO NDIYO SIKU πŸ”₯πŸ—“Sabato ya Msisitizo wa Idara ya Vijana imewadia.. Njoo usikilize Neno la Mungu kupitia mtumishi wake Ni...
25/07/2026

LEO NDIYO SIKU πŸ”₯πŸ—“

Sabato ya Msisitizo wa Idara ya Vijana imewadia.. Njoo usikilize Neno la Mungu kupitia mtumishi wake Nixon Kimboya (SYL) akitufundisha kuhusu Urithi Uliosahauliwa.

πŸ•‘ Saa. 2 Asubuhi hadi 11 Jioni.

πŸ“Pugu Central SDA Church

Je, uko njiani? Tuambie πŸ‘‡

Bado kuna nafasi -- USIKOSE!Tunakaribia Sabato ya Msisitizo wa Idara ya Vijana -- mada: Urithi Uliosahauliwa. K**a bado ...
23/07/2026

Bado kuna nafasi -- USIKOSE!

Tunakaribia Sabato ya Msisitizo wa Idara ya Vijana -- mada: Urithi Uliosahauliwa. K**a bado hujaweka tarehe yako, hii ndio saa.

πŸ—“ 25 Julai 2026 | πŸ•‘ Saa 2 Asubuhi - 11 Jioni

πŸ“ Kanisa la Pugu Central SDA

Je, umepanga kuja? Tuambie hapa chini! πŸ‘‡

πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Idara ya vijana Pugu central inakukaribusha katika sabato maalumu ya vijana itakayofanyika  tarehe 25/06/2026; mgeni ras...
22/07/2026

Idara ya vijana Pugu central inakukaribusha katika sabato maalumu ya vijana itakayofanyika tarehe 25/06/2026; mgeni rasmi ni Kiongozi wa vijana toka Jimboni (SEC) Mr. Nixon Kimboya, karibuni tubarikiwe

Address

443G+28, Pugu Kajiungeni
Dar Es Salaam
12112

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pugu Central Youth Ministries posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share