Malachi Joseph Foundation

Malachi Joseph Foundation Partner with us in putting smiles on their faces for the glory of God”.

"Reaching the less privileged, giving hope to the hopeless through humanitarian programs, unlockings stars and greatness of underprivileged by giving them scholarships!

09/04/2026
Hallelujah! The set time for complete deliverance has come. Mercy will speak for you in your coming and going. On this m...
01/03/2026

Hallelujah! The set time for complete deliverance has come. Mercy will speak for you in your coming and going. On this mountain of mercy, you shall possess your possessions.

Welcome to the month of March!

/////

Haleluya! Wakati ulioteuliwa kwa ajili ya ukombozi kamili umefika. Rehema itakunenea katika kuingia kwako na kutoka kwako. Juu ya mlima huu wa rehema, utamiliki milki zako.

Karibu katika mwezi wa Machi!

Ilikua ni wakati wa kupendeza sana katika nyumba ya Bwana jana, 22 Februari, 2026. Kwa mikono iliyoinuliwa kwa heshima n...
23/02/2026

Ilikua ni wakati wa kupendeza sana katika nyumba ya Bwana jana, 22 Februari, 2026. Kwa mikono iliyoinuliwa kwa heshima na mioyo iliyovutiwa na Bwana, sifa na ibada zilijaza nyumba ya Bwana kwa shukrani kwa ajili ya mwezi wa Februari.

Shuhuda zilimiminika, na Roho wa Bwana alitembea bila vizuizi kupitia mtumishi wake, akihuduma kupitia unabii, maombi na ukombozi. Wengi waliwekwa huru, na wagonjwa wakaponywa.

Kwa kuendeleza upendo wa Kristo usiobagua dini au hadhi, Mtumishi wa Yesu aligawa magunia ya mchele kwa wazee wanaoishi maeneo ya Bunju.

Hakika, tunamtukuza Bwana kwa matendo yake ya ajabu na tunatazamia kuabudu pamoja nawe tena!

///////

What a wonderful time in the house of the Lord, yesterday, 22nd February, 2026. With hands lifted in reverence and hearts in awe, praise and worship filled the house of the Lord in thanksgiving for the month of February thus far.

Testimonies poured in, and the Spirit of the Lord moved unrestrained through His servant in prophecy ministration, prayer and deliverance. Countless were set free, and the sick were healed.

In keeping with the demonstrated love of Christ that does not discriminate religion or status, Jesus' Servant gave out sacks of rice to the elderly around the Bunju vicinity.

Indeed, we glorify the Lord for His wonderful works and look forward to worshipping with you again




To The Glory Of God Almighty🙏.Appreciation to his eminence Apostle John Chi  for the honor 🙏
10/02/2026

To The Glory Of God Almighty🙏.

Appreciation to his eminence Apostle John Chi for the honor 🙏

Welcome to the Month of February!Heaven has swung open the doors of favor, and bestowed a glorious crown of honor. In al...
01/02/2026

Welcome to the Month of February!

Heaven has swung open the doors of favor, and bestowed a glorious crown of honor. In all your coming in and going out, this divine distinction will speak for you.

May this double anointing give you a bountiful harvest, in Jesus' name. Amen!

On the first Sunday thanksgiving service, held at Christ Mandate City on 25th January, Christ Mandate Care - in joyful c...
26/01/2026

On the first Sunday thanksgiving service, held at Christ Mandate City on 25th January, Christ Mandate Care - in joyful collaboration with the Malachi Joseph Foundation, extended Christ’s love to 100 elders from various parts of Dar es Salaam. As a Church firmly built on the Solid Rock, Jesus Christ, who is Love Himself, each elder was blessed with 10kg of rice.

With hearts overflowing with joy and gratitude, two representatives from the elders group sowed powerful seeds of prayer over the Church and our beloved General Overseer. We stand in faith that these prayers will germinate and yield abundant fruit — blessings, success, and prosperity by God’s abundant mercy, in Jesus’ mighty name, Amen.

/////

Katika ibada ya kwanza ya shukrani iliyofanyika Christ Mandate City tarehe 25 Januari, Christ Mandate Care kwa ushirikiano na kwa moyo mkunjufu, pamoja na Malachi Joseph Foundation, zilidhihirisha upendo wa Kristo kwa wazee 100 kutoka maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam. K**a Kanisa lililojengwa imara juu ya Mwamba Imara, Yesu Kristo, ambaye ndiye Upendo wenyewe, kila mzee alibarikiwa na kilo 10 za mchele.

Kwa mioyo iliyojaa furaha na shukrani, wawakilishi wawili kutoka kundi la wazee walipanda mbegu zenye nguvu za maombi juu ya Kanisa na Mwangalizi wetu Mkuu. Tunasimama katika imani kwamba maombi haya yataota na kuzaa matunda mengi - baraka, mafanikio, na ustawi kwa rehema tele za Mungu, katika Jina kuu lenye nguvu la Yesu Kristo, Amina.

Heri ya Mwaka Mpya, familia wapendwa katika Kristo!Tunapoingia katika mwaka 2026; Mwaka wetu uliokusudiwa na mbingu kuwa...
01/01/2026

Heri ya Mwaka Mpya, familia wapendwa katika Kristo!

Tunapoingia katika mwaka 2026; Mwaka wetu uliokusudiwa na mbingu kuwa wa Ebeneza na Mamlaka ya Kimungu—na tuinue sauti zetu kwa shukrani kwa Bwana aliyetufikisha hapa.

K**a ilivyo katika 1 Samweli 7:12-14, ambapo Samweli aliinua jiwe la Ebeneza akisema, "Hata sasa Bwana ametusaidia," mwaka huu na ukaweke alama ya msaada wa Mungu usioyumba katika kila vita, ukibadilisha majaribu yenu kuwa ushindi na mabonde yenu kuwa mafanikio makubwa.

Piga hatua kwa ujasiri katika mwaka huu ukiwa na imani, kwa maana Bwana ndiye Ebeneza wako, Msaidizi wako, na chanzo cha Mamlaka yako ya Kimungu.

Inuka na uangaze, kwa kuwa nuru yako imekuja!

/////

Happy New Year, beloved family in Christ!
As we have ushered in 2026; Our divinely ordained Year of Ebenezer & Divine Dominion—let us raise our voices in gratitude to the Lord who has brought us thus far.

Just as in 1 Samuel 7:12-14, where Samuel raised the stone of Ebenezer saying, "Thus far the Lord has helped us," may this year mark God's unwavering help in every battle, turning your trials into triumphs and your valleys into victories.

Step boldly into this year with faith, for the Lord is your Ebenezer, your Helper, and the source of your Divine Dominion. Arise and shine, for your light has come!



Shalom Beloved Members of Christ Mandate and Power Ministries (CMPM) International,Merry Christmas!On this glorious day,...
25/12/2025

Shalom Beloved Members of Christ Mandate and Power Ministries (CMPM) International,

Merry Christmas!
On this glorious day, as we celebrate the birth of our Lord and Savior Jesus Christ, the greatest gift ever given to humanity, my heart is filled with immense joy and gratitude for each and every one of you.

The angel declared, "Behold, I bring you good tidings of great joy, which shall be to all people. For unto you is born this day in the city of David a Saviour, which is Christ the Lord" (Luke 2:10-11). This is the reason for our celebration—the manifestation of God's unconditional love, mercy, and grace through His Son.

May this Christmas season strengthen your faith, renew your hope, and draw you closer to God, and let us continue to win souls, transform lives, and proclaim the Gospel with boldness.

Dr. Malachi Joseph (Jesus Servant)

////

Shalom Wapendwa wa Christ Mandate and Power Ministries (CMPM) International,

Heri ya Krismasi!
Katika siku hii tukufu, tunaposherehekea kuzaliwa kwa Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo, zawadi kubwa zaidi iliyowahi kutolewa kwa wanadamu, moyo wangu umejawa na furaha na shukrani kubwa kwa kila mmoja wenu.

Malaika alitangaza, "Tazama, nawaletea habari njema za furaha kuu, ambayo itakuwa kwa watu wote. Kwa maana leo katika mji wa Daudi amezaliwa kwenu Mwokozi, ambaye ni Kristo Bwana" (Luka 2:10-11). Hii ndiyo sababu ya sherehe yetu—udhihirisho wa upendo wa Mungu usio na masharti, rehema, na neema kupitia Mwanawe.

Krismasi hii iwe nguvu ya kuimarisha imani yenu, kuifanya upya tumaini lenu, na kuwavuta karibu zaidi na Mungu, na tuendelee kuokoa nafsi, kubadilisha maisha, na kutangaza Injili kwa ujasiri.

Dkt. Malachi Joseph (Mtumishi wa Yesu)

Baada ya kumaliza kwa ushindi wa siku 100 za mfungo na maombi kwa mwaka 2025, Jumamosi, tarehe 13 Desemba 2025, ikiwa ni...
16/12/2025

Baada ya kumaliza kwa ushindi wa siku 100 za mfungo na maombi kwa mwaka 2025, Jumamosi, tarehe 13 Desemba 2025, ikiwa ni siku ya agano ya kuhitimisha mfungo huo na maombi, ibada ilifanyika katika Mji wa Christ Mandate, Bunju B, Dar-es-Salaam, Tanzania.

Katika ibada hiyo, Christ Mandate Care ikishirikiana na Malachi Joseph Foundation ilitoa misaada kwa wazee wahitaji zaidi ya 100 kutoka maeneo mbalimbali ndani ya Dar-es-Salaam.

Kila mzee alipokea kilo 10 za mchele na pesa taslimu za kitanzania 50,000/=.
Jambo hili lilifanyika katika kutimiza Neno la Mungu kutoka Isaya 58:6-7, linaloelekeza aina ya mfungo Aliyoichagua Mungu, yaani kuwagawia wahitaji chakula.

Wazee hao waliguswa sana na upendo wa Kristo waliooneshwa kupitia misaada waliyoipokea.
Kanisa la Christ Mandate linampa Mungu utukufu wote kwa kufanikisha tukio hilo!

Christ Mandate Church
Christ MandateTv

Following the triumphant completion of the 100 days of fasting and prayers for the year 2025, on Saturday, 13th December...
16/12/2025

Following the triumphant completion of the 100 days of fasting and prayers for the year 2025, on Saturday, 13th December 2025, being the covenant day of finalizing the fasting and prayers, the service was held at Christ Mandate City, located at Bunju B, Dar-es-Salaam, Tanzania.

On that very day, Christ Mandate Care in collaboration with the Malachi Joseph Foundation supported more than 100 vulnerable elders that were invited from different places within Dar-es-Salaam.

Each of the elders received 10kgs of rice and a token of 50,000Tshs. This was done in fulfilment of the Word of God from Isaiah 58:6-7, instructing on the kind of fast that God has chosen, i.e sharing food with the hungry.

The elders were overwhelmed by the Love of Christ introduced to them through the support they received.
Christ Mandate Church gives the LORD all the Glory for this accomplishment!


OUR MONTH OF DECEMBER WITHOUT DISASTER! [Isaiah 54:17]The Promise of God's Protection over your life! This December is a...
01/12/2025

OUR MONTH OF DECEMBER WITHOUT DISASTER! [Isaiah 54:17]

The Promise of God's Protection over your life! This December is a month of nothing but grace, blessings, and victory! Every weapon formed against you shall not prosper. We are closing this season in peace, health, and achievement, in the Name of Jesus!

/////

MWEZI WETU WA DISEMBA BILA MAAFA! [Isaya 54:17]

Ahadi ya Ulinzi wa Mungu kwenye maisha yako! Disemba hii ni mwezi wa neema, baraka, na ushindi tu! Kila silaha itakayofanywa juu yako haitafanikiwa. Tunafunga msimu huu kwa amani, afya, na mafanikio, katika Jina la Yesu!

On Jesus's Servant, Dr. Malachi Joseph's birthday celebration on the 5th of October 2025, with a heart of thanksgiving, ...
14/10/2025

On Jesus's Servant, Dr. Malachi Joseph's birthday celebration on the 5th of October 2025, with a heart of thanksgiving, kindness, love, and compassion, he extended his hands to the Widows through Christ Mandate Care program and Malachi Joseph Foundation.

"For when we give to those in need, we give unto the Lord. Today, we reach out with love and compassion to our widows, sharing bags of rice (10kgs each) as a token of God’s unending provision" Dr. Malachi Joseph

May this simple act remind us that true worship is shown not only in words, but in deeds of kindness and mercy.

///

Wakati wa kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa Mtumishi wa Yesu, Dk. Malachi Joseph, tarehe 5 Oktoba 2025, kwa moyo wa shukrani, wema, upendo na huruma, alichagua kuwafikia Wajane kupitia mpango wa Christ Mandate Care na Malachi Joseph Foundation.

"Kwa maana tunapotoa kwa wahitaji, tunamtolea Bwana. Leo, tunawafikia wajane wetu kwa upendo na huruma, tukiwagawia viroba vya mchele (kilo 10 kila moja) k**a ishara ya riziki isiyoisha ya Mungu" Dk. Malachi Joseph

Tendo hili rahisi na litukumbushe kwamba ibada ya kweli inaonyeshwa si kwa maneno tu, bali kwa matendo ya wema na huruma.

Christ MandateTv
Christ Mandate Church
Malachi Joseph Ministries



Address

Opposite Kigogo Police Post Dar Es Salaam Tanzania �
Dar Es Salaam
4480

Telephone

+255744680080

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Malachi Joseph Foundation posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Malachi Joseph Foundation:

Share