St. Maria Goretti Choir

St. Maria Goretti Choir Kwaya ya Mt Maria Goretti mbagala Dar es salaam

Kwaya ya Mt Maria Goretti-Mbagala tunawatakia heri ya pasaka. Yesu amefufuka Aleluya Aleluya
17/04/2022

Kwaya ya Mt Maria Goretti-Mbagala tunawatakia heri ya pasaka. Yesu amefufuka Aleluya Aleluya

Wapenzi na wadau wa mziki Mtakatifu,mnakaribishwa katika tamasha la awali la Yesu Ni mwema(TYM-2021) litakalofanyika jum...
27/10/2021

Wapenzi na wadau wa mziki Mtakatifu,mnakaribishwa katika tamasha la awali la Yesu Ni mwema(TYM-2021) litakalofanyika jumapili 31/10/2021 Makuburi. Vijana wa kwaya Ya Mt Maria Goretti(watoto wa Asali Mbashara) watakuwepo kutumbuiza Mbashara. Njoo tutafakari pamoja fadhila ya ukimya kwa pamoja.

Kwaya ya Mt.Maria Goretti Parokia ya Mt.Anton Wa Padua Mbagala Zakhem inayofuraha kuwakaribisha wapenzi wake wote kwenye...
03/06/2021

Kwaya ya Mt.Maria Goretti Parokia ya Mt.Anton Wa Padua Mbagala Zakhem inayofuraha kuwakaribisha wapenzi wake wote kwenye TAMASHA kubwa la uinjilishaji litakalofanyika Parokia Ya Chamazi. Dhumuni/Lengo la tamasha hilo ni kusaidia UJENZI wa nyumba ya Mungu/Kanisa la chamazi.Tiketi ni ZINAPATIKANA kwa bei ya Tshs5,000_= kawaida na wale wa V.I.P ni Tshs10,000=.
TIKETI NI ZINAPATIKANA;
-KWAYA YA MT.MARIA GORETTI MBAGALA ZAKHEM,
-OFISI YA MAKATEKISTA PAROKIANI MBAGALA ZAKHEM,
-WANAKWAYA WOTE WA KWAYA YA MT.MARIA GORETTI MBAGALA.
KWA MASAWASILIANO ZAIDI PIGA #;
-0716686128
-0762348717
NYOTE MNAKARIBISHWA SANA.

03/06/2021

Kwaya ya Mt.Maria Goretti Parokia ya Mt.Anton Wa Padua Mbagara Zakhem inayofuraha kuwakaribisha wapenzi wake wote kwenye TAMASHA kubwa la uinjilishaji litakalofanyika Parokia Ya Chamazi. Dhumuni/Lengo la tamasha hilo ni kusaidia UJENZI wa nyumba ya Mungu/Kanisa la chamazi.Tiketi ni ZINAPATIKANA kwa bei ya Tshs5,000_= kawaida na wale wa V.I.P ni Tshs10,000=.
TIKETI NI ZINAPATIKANA;
-KWAYA YA MT.MARIA GORETTI MBAGARA ZAKHEM,
-OFISI YA MAKATEKISTA PAROKIANI MBAGALA ZAKHEM,
-WANAKWAYA WOTE WA KWAYA YA MT.MARIA GORETTI MBAGALA.
KWA MASAWASILIANO ZAIDI PIGA #;
-0716686128
-0762348717
NYOTE MNAKARIBISHWA SANA.

23/04/2021

Address

Mbagala Zakhem
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when St. Maria Goretti Choir posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to St. Maria Goretti Choir:

Share