IPGC Mboppo Center

IPGC Mboppo Center Karibu IPGC Mboppo Center �
Kumhubiri Kristo na kuijenga imani ya watu �
Mafundisho• Maombi • Ibada

MBOPO CENTER KUMEKUCHAKARIBUNI
22/08/2026

MBOPO CENTER KUMEKUCHA
KARIBUNI

Tunamshukulu mungu ametupa neema ya kuwasiri Dodoma
18/08/2026

Tunamshukulu mungu ametupa neema ya kuwasiri Dodoma

Wapendwa ndugu na marafiki,Napenda kuwashukuru sana wote waliokwisha toa michango yao—Mungu awabariki sana kwa moyo wenu...
28/07/2026

Wapendwa ndugu na marafiki,
Napenda kuwashukuru sana wote waliokwisha toa michango yao—Mungu awabariki sana kwa moyo wenu wa upendo na kujitoa.

Kwa wale ambao bado hamjapata nafasi ya kuchangia, tunaendelea kuwapokea kwa moyo mkunjufu. Mchango wako bado una thamani kubwa sana. mwisho wa makusanyo ni 25/08/2025

Karibuni tushirikiane kukamilisha jambo hili jema. Asanteni sana 🙏

Wapendwa ndugu na marafiki,Tunaendelea na harambee ya kuchangia ununuzi wa kiwanja cha kanisa letu. Hii ni fursa ya kipe...
24/07/2026

Wapendwa ndugu na marafiki,
Tunaendelea na harambee ya kuchangia ununuzi wa kiwanja cha kanisa letu. Hii ni fursa ya kipekee kushiriki katika kazi ya Mungu na kuacha alama ya kudumu kwa vizazi vijavyo.
Kila mchango wako, mkubwa au mdogo, una thamani kubwa mbele za Mungu. Tujitokeze kwa moyo wa upendo na umoja, tukijua kuwa tunajenga mahali patakatifu pa ibada.
Karibu tushirikiane kufanikisha jambo hili jema. Mungu awabariki sana.
by pastor Woram Nyoni mbopo
0675567069

15/07/2026
15/07/2026

Address

Mboppo Center Karibu Na Kanisa La Roma
Dar Es Salaam
00000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when IPGC Mboppo Center posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share