02/04/2024
Shalom! Shalom! Shalom
Watumishi wa Mungu Jerusalem Choir KKKT Usharika wa Kimara tumezindua wimbo kupitia YOUTUBE, Unaoitwa Mungu wetu u mkuu kuliko miungu yote.
Tembelea mitandao yetu ya kijamii , Share + Subscribe .
Youtube: https://youtu.be/KQ6ck4G4MG4
Instagram: https://www.instagram.com/jchoirklc/
Ahsanteni Mungu Awabariki