Seal Hajj & Umrah

Seal Hajj & Umrah Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Seal Hajj & Umrah, Religious organisation, Dar es Salaam.

Group yetu ya wanafunzi wa K**e ikke ndani ya Masjid Annabawi Madina
17/12/2025

Group yetu ya wanafunzi wa K**e ikke ndani ya Masjid Annabawi Madina

Kwa uwezo wake Allah ibada ya Umrah ilikamilila kwa wepesi na wanafunzi wakiambatana na walimu wao walifurahia kutekelez...
15/12/2025

Kwa uwezo wake Allah ibada ya Umrah ilikamilila kwa wepesi na wanafunzi wakiambatana na walimu wao walifurahia kutekeleza Ibada Hii kwa pamoja. Pia ilipatikana nafasi kwa mtu kurudia au kumfanyia mtu Umrah na watoto walifanya kwa weledi chini ya usimamizi wa mzuri.

Wanafunzi wa Baobab School wakiwa pamoja na walimu wao walipotembelea Viwanja vya Arafah na kufika katika Jabal Al Rahma...
15/12/2025

Wanafunzi wa Baobab School wakiwa pamoja na walimu wao walipotembelea Viwanja vya Arafah na kufika katika Jabal Al Rahma.

Safari hii imesimamiwa kwa ukamilifu na ikishirikiana na

Wakiwa katika nyuso za furaha baada ya kumaliza Ibada ya Swala ya Ijumaa ndani ya Masjid Haram Makkah. Wanafunzi wa kida...
12/12/2025

Wakiwa katika nyuso za furaha baada ya kumaliza Ibada ya Swala ya Ijumaa ndani ya Masjid Haram Makkah. Wanafunzi wa kidato cha kwanza ambao wamebahatika kuitwa na Allah SW katika ibada hio tukufu ya Umrah.

Wanafunzi kutoka   Wakijiandaa kwenda kutekeleza Ibada ya Umrah tayari wakiwa katika vazi la Ihram.
12/12/2025

Wanafunzi kutoka Wakijiandaa kwenda kutekeleza Ibada ya Umrah tayari wakiwa katika vazi la Ihram.

Alhamdulillah Group ya pili ya Wanafunzi wa Baobab Schools Waliojaaliwa kuitikia wito wa Allah SW limeanza Safari yake k...
10/12/2025

Alhamdulillah Group ya pili ya Wanafunzi wa Baobab Schools Waliojaaliwa kuitikia wito wa Allah SW limeanza Safari yake kuelekea Nchini Saudi Arabia kutekeleza Ibada ya Umrah.

Allah ajaalie Ibada yao iwe yenye kupokelewa.

Alhamdulillah Group ya kwanza ya Wanafunzi wa Baobab Schools Waliojaaliwa kuitikia wito wa Allah SW limeanza Safari yake...
10/12/2025

Alhamdulillah Group ya kwanza ya Wanafunzi wa Baobab Schools Waliojaaliwa kuitikia wito wa Allah SW limeanza Safari yake kuelekea Nchini Saudi Arabia kutekeleza Ibada ya Umrah.

Allah ajaalie Ibada yao iwe yenye kupokelewa. .r.i.p

They Day of Arafah
05/06/2025

They Day of Arafah

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Seal Hajj & Umrah posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Seal Hajj & Umrah:

Share