JESUS Gospel Ministry

JESUS Gospel Ministry Youtube: Jesus Gospel Ministry (Tanzania)
Instagram: jesus_gospel_minister

Jesus Gospel Ministry ni huduma ya Injili ya YESU KRISTO kwa watu wote.
1samuel 10:1-20
isaya 6:8

Karibu kwa mafundisho ya neno la Mungu na shuhuda za matendo makuu ya Mungu.

Huwezi kuwa huru zaidi ya kweli unayoijua
06/04/2026

Huwezi kuwa huru zaidi ya kweli unayoijua

06/04/2026

KIWANGO CHA KWELI UTAKAYOIJUA NDIO KIWANGO CHA UHURU UTAKAOTEMBEA NAO

Yohana 8:32

01/04/2026

Ninamshukuru Mungu kwa Neema, Rehema na kibali ambacho amenipa cha kumtumikia.
Haikuwa rahisi kumuelewa na kuvuka kwenye darasa lake. Kwa miaka 3 Mungu amenipitisha kwenye darasa ambalo ndani yake nimekuwa nikikosea kwa kutokuelewa alipokuwa akisema nami.

Namshukuru Mungu kwa kunipa wazazi pamoja na walezi wa kiroho.

Katika ukurasa huu nitakuwa nawaletea mafundisho ya NENO la MUNGU na MAOMBI kwa kadri ambavyo Mungu atakuwa anatuongoza lakini pia pamoja na ushuhuda wa safari yangu ya wito wa huduma ambazo Mungu amenipa ili kukujenga wewe utakayepata nafasi ya kusoma au kunisikiliza.

Ninakuombea Mungu akupe Neema na kibali cha kujifunza kupitia ukurasa huu.
MUNGU AKUBARIKI

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when JESUS Gospel Ministry posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share