Safari ya Neno

Safari ya Neno Maarifa, Imani na Matendo

14/04/2026
13/04/2026

Tunafundisha Biblia Bure kwanzia kitabu Cha mwanzo mpaka ufunuo. Fahamu Siri za ufalme wa Mbinguni na ujue mapenzi ya Mungu kwa wakati huu. Ufunuo 22:17
Na Roho na Bibi-arusi wasema, Njoo! Naye asikiaye na aseme, Njoo! Naye mwenye kiu na aje; na yeye atakaye, na ayatwae maji ya uzima bure.
Karibu ujisajili Bure kabisa.
Link ya Form: https://forms.gle/jpPP9AbLnY36Zg9R6

Karibu tunafundisha Biblia Bure kwanzia kitabu Cha mwanzo mpaka ufunuo. K**a unahitaji andika kwenye comment naitaji au ...
11/04/2026

Karibu tunafundisha Biblia Bure kwanzia kitabu Cha mwanzo mpaka ufunuo. K**a unahitaji andika kwenye comment naitaji au Nipigie moja kwa moja 0715164376 kabla hatujafunga usajili wa darasa.

06/04/2026

Mt 7:15 bila maarifa tutaangamia hivyo karibuni tuifahamu Biblia yote Ili tuwe na maarifa sahihi ya kumshinda shetani na kufika mbinguni... K**a upo tayar kupata mafundisho ya Biblia Bure karibu inbox au chukua namba yangu nitafute au andika kwenye comment... Nipo tayar

Inawezekana tunajuhudi sana katika MAISHA yetu ya Imani lkn k**a hatuna maarifa sahihi ya kumjua Mungu (Biblia) hatuwezi...
05/04/2026

Inawezekana tunajuhudi sana katika MAISHA yetu ya Imani lkn k**a hatuna maarifa sahihi ya kumjua Mungu (Biblia) hatuwezi kufika mbinguni. Karibu kituo Cha umisheni Cha Sayuni tujifunze Biblia Bure bile gharama yoyote 0715164376

04/04/2026

Karibu tujifunze Biblia na kuifahamu maarifa sahihi ya Biblia na kumjua Mungu n Mapenzi ya Mungu.... Mafundisho ni Bure kabisa... Naitaji kwenye comment

27/03/2026

Je, ww upo upande gani kati ya njia, miamba, miiba na udongo mzuri
Tukisoma Mathayo 13.. Yesu alizungumzia kuhusu Siri za ufalme wa Mbinguni kwa mafumbo na mafumbo yote yametafsiriwa ndani ya Biblia, Ili tuweze kuelewa na kupata maana halisi ya kile ambacho Mungu amekusudia ni lazima tuyafahamu mafumbo haya yote kwa tafsiri za Biblia na sio kutafsiri kwa mawazo yetu Ili kuepuka kuongeza na kuponguza ufunuo 22:18-29. Hawezi kufika mbinguni k**a haufahamu Siri za Mbinguni.. karibu sana tujifunze kuelewa Biblia kikamilifu. Tunafundisha Biblia yote kwanzia kitabu Cha Mwanzo mpaka Ufunuo Bure kabisa. Nipigie kwa Maelezo zaidi au andika namba Yako kwenye comment na sehemu ulipo . 0715164376
Everyone Products True Religion Biblica

Matthew 7:21-23[21]Not every one that saith unto me, Lord, Lord, shall enter into the kingdom of heaven; but he that doe...
25/03/2026

Matthew 7:21-23
[21]Not every one that saith unto me, Lord, Lord, shall enter into the kingdom of heaven; but he that doeth the will of my Father which is in heaven.
Si kila mtu aniambiaye, Bwana, Bwana, atakayeingia katika ufalme wa mbinguni; bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.
[22]Many will say to me in that day, Lord, Lord, have we not prophesied in thy name? and in thy name have cast out devils? and in thy name done many wonderful works?
Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi?
[23]And then will I profess unto them, I never knew you: depart from me, ye that work iniquity.
Ndipo nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu.

Ndugu unajuhudi ya kufanya MAISHA ya Imani lakini je, unafahamu nyakayi na kufahamu mapenzi ya Mungu kwa wakati huu...

Karibu tujifunze kwa pamoja... Tunafundisha Biblia Bure kwanzia kitabu Cha mwanzo mpaka ufunuo. Andika namba kwenye comment na sehemu ulipo au tupigie kwa namba 0715164376

24/03/2026

.John 1:1-5
[1]In the beginning was the Word, and the Word was with God, and the Word was God.
Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
[2]The same was in the beginning with God.
Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.
[3]All things were made by him; and without him was not any thing made that was made.
Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika.
[4]In him was life; and the life was the light of men.
Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu.
[5]And the light shineth in darkness; and the darkness comprehended it not.
Nayo nuru yang’aa gizani, wala giza halikuiweza.

Mungu ni Neno, Neno= nguvu ya uumbaji, Neno= uzima na nuru

Address

Mwananyamala, Kinondoni
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 19:00
Tuesday 09:00 - 19:00
Thursday 09:00 - 19:00
Friday 09:00 - 19:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Safari ya Neno posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share