Mack.G.worship"Gospel Ministry supporters

  • Home
  • Mack.G.worship"Gospel Ministry supporters

Mack.G.worship"Gospel Ministry supporters Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mack.G.worship"Gospel Ministry supporters, Religious organisation, markokiulamagu@gmail. com, .

NEW SONG FOR CHRISTMAS  TUSIKILIZE WIMBO HUU HAPA NDUGU ZANGU NAWATAKIA SIKUKUU NJEMA
24/12/2024

NEW SONG FOR CHRISTMAS
TUSIKILIZE WIMBO HUU HAPA NDUGU ZANGU NAWATAKIA SIKUKUU NJEMA

Habari Ndugu Yangu..Uongozi Wa Mack.G.Worship..Ministry Tunatoa shukrani Zetu kwa Mungu..na WEWE..Kwa support Yako kwa H...
31/12/2020

Habari Ndugu Yangu..
Uongozi Wa Mack.G.Worship..
Ministry Tunatoa shukrani Zetu kwa Mungu..na WEWE..
Kwa support Yako kwa Huu Mwaka maana Mmetuamini sana..
MKATUSIKILIZA
MKATU..SUBSCRIBE
MKATU..FOLLOW
(Instagram,Facebook,nkl)
Hakika Tunaahidi mambo mazuri sana kwa Mwaka 2021...TUNAKUOMBA ENDELEA ,KUTUFATILIA PIA YOUTUBE,INSTAGRAM, FACEBOOK.....👇👇
https://youtu.be/4xsyQ_a1Enw
Mungu Akubariki sana..Hakika akafufue vyote vilivyo kufa na akakurudishie vilivyo ibiwa katika mwaka2020

Nawa Takia Siku njema na yenye Baraka Zaidi Yesu akufanye Azaliwe kwa Upya katika kila eneo maishani MwakoSEMA....EE YES...
25/12/2020

Nawa Takia Siku njema na yenye Baraka Zaidi Yesu akufanye Azaliwe kwa Upya katika kila eneo maishani Mwako
SEMA....EE YESU NAKUHITAJI NIFANYE KWA UPYA ....

HABARI NDUGU..Kwa majina naitwa Mack.G.WorshipMwimbaji Wa Injili...Karibu sana..Nisaidie KUSUBSCRIBEKushareIli Injili iw...
09/12/2020

HABARI NDUGU..
Kwa majina naitwa Mack.G.Worship
Mwimbaji Wa Injili...
Karibu sana..
Nisaidie
KUSUBSCRIBE
Kushare
Ili Injili iwafikie wengi zaidi
🙏🙏🙏🙏
GUSA HAPA👇👇

Song:SHUKURU Artist:MACK.G.WORSHIP " Back vocalist: SARAH KASATO Producer: JB PRODUCTION (Brother Baraka) Video lyric:Mack.G.Worship" Contact: 0714643171 Und...

HABARI... NDUGU ZANGUNashukuru Sana Kuwa Mmoja Wa Huduma Hii. MACK.G.WORSHIP"Leo Tumshukuru MUNGU Kwa Kusema"Ashukuriwe ...
17/11/2020

HABARI... NDUGU ZANGU
Nashukuru Sana Kuwa Mmoja Wa Huduma Hii. MACK.G.WORSHIP"
Leo Tumshukuru MUNGU Kwa Kusema
"Ashukuriwe Mungu Maana Nilipokuwa Jana Sipo Nilipo Leo,Na Utukufu Ujao Ni MKUU Zaidi ya Wasasa...Masikio yao Yatawawasha tuu Wasikiapo Baraka zako Kwangu"

SHALOM"Kukizoea kitu chako kusikufanye ukidharau Bali zidi kukithamini ili na wengine wakithamini hicho kitu na wewe mwe...
13/10/2020

SHALOM
"Kukizoea kitu chako kusikufanye ukidharau Bali zidi kukithamini ili na wengine wakithamini hicho kitu na wewe mwenye nacho "G.Worship"
1. #,2.KIMBILIO #

Naomba@SUBSCRIBE

Habari Ndugu Zangu,Naomba Mungu Azidi Kuwa Nanyi katika kila JamboBaraka zake Zisikome Kwako  DaimaAMEN
19/09/2020

Habari Ndugu Zangu,
Naomba Mungu Azidi Kuwa Nanyi katika kila Jambo
Baraka zake Zisikome Kwako Daima

AMEN

Address

Markokiulamagu@gmail. Com

YOUTUBE:MARKOKIULAMAGULU.(MACK.G.WORSHIP")

Telephone

0714643171

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mack.G.worship"Gospel Ministry supporters posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship?

Share