Kurasini FPCT

Kurasini FPCT The Free Pentecostal Church of Tanzania (FPCT)

15/05/2026

Ni usiku wa baraka sana, hakuna kulala nyumbani leo ila ni sisi na Baba wa mbinguni, karibu tuungane katika mkesha huu mkubwa...

Ule usiku ambao tuliusubiri hatimaye umewadia, ni usiku wa sifa na maombi. You wouldn't want to miss this one nakwambia,...
15/05/2026

Ule usiku ambao tuliusubiri hatimaye umewadia, ni usiku wa sifa na maombi. You wouldn't want to miss this one nakwambia, wewe njoo tu, halafu usije pekee yako... wako tayari kukuongoza katika sifa na our lead pastor is ready to share the word of God...ni usiku wa leo!

USIKU WA SIFA NA MAOMBIKatika usiku huu wa sifa kwa MUNGU na maombi, tumebarikiwa kuwa na Mchungaji wetu kiongozi  akihu...
14/05/2026

USIKU WA SIFA NA MAOMBI

Katika usiku huu wa sifa kwa MUNGU na maombi, tumebarikiwa kuwa na Mchungaji wetu kiongozi akihudumu kwa neno la wakati kabisa.

Tutaimba, tutaomba lakini pia tutajengwa kwa neno...

Usikubali kulala nyumbani...

Ikiwa mkesha huu unafanyika kwa mara ya kwanza kabisa kwa mwaka huu, watumishi wa MUNGU  nao wamesema hawataki kukosa ba...
13/05/2026

Ikiwa mkesha huu unafanyika kwa mara ya kwanza kabisa kwa mwaka huu, watumishi wa MUNGU nao wamesema hawataki kukosa baraka hizi, watakuwepo kutuongoza katika sifa na maabudu, mwambie na mwenzako halafu tuje kwa wingi wetu...ni Ijumaa hii

Mkesha wa Sifa na Maombi, ni Ijumaa hii, ambapo tutakuwa na mtumishi wa MUNGU   akituongoza kwenye sifa, unakosaje ibada...
12/05/2026

Mkesha wa Sifa na Maombi, ni Ijumaa hii, ambapo tutakuwa na mtumishi wa MUNGU akituongoza kwenye sifa, unakosaje ibada hii ya kumuadhimisha Masihi na kujimimina mbele zake?
Tuambie wimbo gani ungependa Elia aimbe katika mkesha huo?

Dondoo za ibada ya Jumapili, May 11' 2026Sunday, May 11th 2026 Highlights.
11/05/2026

Dondoo za ibada ya Jumapili, May 11' 2026

Sunday, May 11th 2026 Highlights.

10/05/2026

Nguvu ya Kufanyika || Rev. Oscar Kindole || 10.05.2026

10/05/2026

Ibada ya Pili ya Jumapili || 10.05.2026

10/05/2026

The Power to Become || Rev. Oscar Kindole || 10.05.2026

PRAISE & PRAY OvernightKwa mara ya kwanza ndani ya mwaka huu wa 2026, ni ule mkesha wa Sifa na Maombi unakujia tena! Uko...
06/05/2026

PRAISE & PRAY Overnight

Kwa mara ya kwanza ndani ya mwaka huu wa 2026, ni ule mkesha wa Sifa na Maombi unakujia tena! Uko tayari...?!!

More information to come.

Ibada ya Jumapili ya leo, tarehe 03. 05. 2026 imekuwa ya baraka sana, ambapo tulimuadhimisha Mungu na kisha kusikia neno...
03/05/2026

Ibada ya Jumapili ya leo, tarehe 03. 05. 2026 imekuwa ya baraka sana, ambapo tulimuadhimisha Mungu na kisha kusikia neno lake kutoka kwa Mzee Isaya Mwanyamba, juu ya Kuangaziwa Nuru katika Ufahamu akisoma vitabu vya Kutoka 3: 1 - 6, Mwanzo 15: 1-6 na Waefeso 1: 18 - 23.

Unaweza kutembelea kurasa zetu za Facebook na YouTube kutazama ibada hii.

Address

KURASINI FPCT, P. O BOX
Dar Es Salaam
4265

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kurasini FPCT posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Kurasini FPCT:

Share

Category