Huduma ya uponyaji na uzima wa milele kwa mataifa yote

Huduma ya uponyaji na uzima wa milele kwa mataifa yote This page is for every peoples who having Jesus and born again.

Is a page deal with healings and prayers for all people Saturn has beaten them, they need spiritual service and other helps from God.

Mabuldoza ya upako
17/10/2022

Mabuldoza ya upako

Tarehe hii 15/10/2022Ni tarehe itakayoingia kwenye kumbukumbu zangu, kwa kuwa mtumishi huyu, Boniface Mwamposa, nilionan...
17/10/2022

Tarehe hii 15/10/2022

Ni tarehe itakayoingia kwenye kumbukumbu zangu, kwa kuwa mtumishi huyu, Boniface Mwamposa, nilionana naye uso kwa uso na kwa kunishika mkono wangu kwa Mafuta, na kutamka neno la baraka.

Hakika nilikuwa miongoni mwa watu waliofika kwenye kongamano kubwa hapa songea matarawe. Ameibariki ardhi ya songea.

Mungu akupe maisha marefu katika huduma ili uwe baraka kwa wengine ndani na nje ya nchi. Sina shaka na hofu na fitina juu ya huduma uliyoitwa na Mungu kwenye shamba lake. Siku 3 zilitosha kuibadili songea kutoka kuitwa Luzu hadi Bethel.

27/09/2022

Hallelujah wapendwa katika bwana

05/09/2022
05/09/2022

Mungu awabariki

05/09/2022

Na Mungu awabariki

Shetani amenyang'anywa mateka
26/07/2022

Shetani amenyang'anywa mateka

Address

Songea
Dar Es Salaam

Telephone

+255620839057

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Huduma ya uponyaji na uzima wa milele kwa mataifa yote posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Huduma ya uponyaji na uzima wa milele kwa mataifa yote:

Share