Kibangu JUU SDA Church

Kibangu JUU SDA Church Karibu sana katika ukurasa huu wa Kanisa la Wa Adventista wa Sabato Kibangu Juu. Like and Follow ili uweze pata taarifa zetu zoote��

Official facebook PAGE account of the Seventh Day Adventist Church Kibangu JUU. Location: Unyamwezini, Makoka... Ubungo-Dar es Salaam Tanzania

11/04/2026

Mabalozi Day – Kibangu Juu SDA ✨Mabalozi pamoja na Mchungaji wetu wa mtaa, PR  Walter 🙏Siku ya kipekee iliyojaa baraka, ...
04/04/2026

Mabalozi Day – Kibangu Juu SDA ✨

Mabalozi pamoja na Mchungaji wetu wa mtaa, PR Walter 🙏

Siku ya kipekee iliyojaa baraka, umoja na mafundisho ya kujenga imani zetu.

Tumekumbushwa kusimama imara na kuishi k**a mabalozi wa kweli wa Kristo katika maisha yetu ya kila siku 💫

30/03/2026

PICNIC YA VIJANA KIBANGU JUU SDA YAFANA 🏖 🌊 🔥

Siku ya leo, vijana wakubwa pamoja na Mabalozi Kanisa la Waadventista wa Sabato Kibangu Juu walijumuika katika picnic iliyofanyika kwenye fukwe za Utamu Beach, Mikocheni – Dar es Salaam.

Katika tukio hili la kipekee, vijana walipata fursa ya kufahamiana kwa karibu zaidi, kujifunza mambo mbalimbali ya maisha na kiroho, kushiriki chakula pamoja, pamoja na kuburudika katika mazingira ya upendo na mshik**ano.

Picnic hii imekuwa chachu ya kuimarisha umoja, ushirikiano na kujenga urafiki miongoni mwa vijana, huku ikiwahamasisha kuendelea kushik**ana katika safari yao ya imani na maisha kwa ujumla.

Kijana Usipange Kukosa PICNIC Ijayo ! 😊

  Imekuwa Baraka Kwa Vijana wa Kanisa La Kibangu Juu SDA
29/03/2026

Imekuwa Baraka Kwa Vijana wa Kanisa La Kibangu Juu SDA

Mzee wa Kanisa Kibangu Juu, Gideon Mtaka Pamoja na Shemasi Mkuu, Moses Kimomo (Slide) Wakiwa Kwenye Mtoko wa Vijana Ndan...
29/03/2026

Mzee wa Kanisa Kibangu Juu, Gideon Mtaka Pamoja na Shemasi Mkuu, Moses Kimomo (Slide) Wakiwa Kwenye Mtoko wa Vijana Ndani ya Fukwe za Utamu Beach (Dar es salaam)

Furaha ya Kiongozi ! Mkuu wa Idara ya Vijana, Madam Agnes Mtete Akiwa Katika Mtoko wa Vijana Ndani ya Fukwe za Utamu Bea...
29/03/2026

Furaha ya Kiongozi ! Mkuu wa Idara ya Vijana, Madam Agnes Mtete Akiwa Katika Mtoko wa Vijana Ndani ya Fukwe za Utamu Beach

Baadhi ya Viongozi wa Kanisa, Viongozi wa Idara ya Vijana Pamoja na Baadhi ya Vijana Kutoka Kibangu Juu SDA Wakisherehea...
29/03/2026

Baadhi ya Viongozi wa Kanisa, Viongozi wa Idara ya Vijana Pamoja na Baadhi ya Vijana Kutoka Kibangu Juu SDA Wakisherehea Ushindi wa Kuwakutanisha Vijana Pamoja na Kuwa na Mtoko Mzuri Wenye Baraka Tele

Vijana wa Kibangu Juu SDA Wakifurahia UUMBAJI wa MUNGU Alioufanya Siku ya Tatu 😀"Mungu Akasema Maji Yaliyo Chini ya Mbin...
29/03/2026

Vijana wa Kibangu Juu SDA Wakifurahia UUMBAJI wa MUNGU Alioufanya Siku ya Tatu 😀

"Mungu Akasema Maji Yaliyo Chini ya Mbingu na Yakusanyike Mahali Pamoja Ili Pakavu Paonekanez, Ikawa Hivyo." (Mwanzao 1:9)

Vijana wa Kanisa Letu  Leo Machi 29, 2026 Wamefanya Mtoko Pamoja na Viongozi Wao Ambapo Wametembelea Fukwe za Utamu Beac...
29/03/2026

Vijana wa Kanisa Letu Leo Machi 29, 2026 Wamefanya Mtoko Pamoja na Viongozi Wao Ambapo Wametembelea Fukwe za Utamu Beach (Dar es salaam).

Huko Wamejifunza Mambo Mbalimbali Katika Semina Fupi Iliyoongozwa na Viongozi Idara ya Vijana Pamoja na Viongozi wa Kanisa.

28/03/2026

Mrs. Agness Chacha akiwaombea Watoto wanaoishi katika Mazingira Magumu ambao tulijumuika nao leo katika ibada ya Kuhitimisha Juma la Maombi la Vijana Kanisani Kibangu Juu.

Tulijifunza Pamoja Neno la Mungu na Kushiriki chakula cha Mchana na Kuwapatia Zawadi mbalimbali ikiwemo Vyakula na Mavazi.

28/03/2026

Ibada ya Leo ilikuwa ya Kipekee, tulijumuika na Watoto wanaoishi katika Mazingira Magumu ambapo tulijifunza Pamoja Neno la Mungu na Kushiriki chakula cha Mchana na Kuwapatia Zawadi mbalimbali ikiwemo Vyakula na Mavazi ikiwa ni Sehemu ya Kilele cha Juma la Maombi Kanisani Kibangu Juu.

28/03/2026

"Changamoto Unazopitia Sasa sio Za Kudumu" - Mrs. Agness Chacha akitoa Neno katika ibada ya leo Kanisani Kibangu Juu ambapo leo tulipata nafasi ya Kujumuika na Watoto wanaoishi katika Mazingira Magumu.

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Asha Hussein Kutoka Dawati la Jinsia la Wilaya ya Kipolisi Kariakoo

Ibada ya Leo ilikuwa ya Kipekee, tulijumuika na Watoto wanaoishi katika Mazingira Magumu ambapo tulijifunza Pamoja Neno la Mungu na Kushiriki chakula cha Mchana na Kuwapatia Zawadi mbalimbali ikiwemo Vyakula na Mavazi ikiwa ni Sehemu ya Kilele cha Juma la Maombi Kanisani Kibangu Juu.

Address

Makoka
Dar Es Salaam
80429DARESSALAAM

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kibangu JUU SDA Church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Kibangu JUU SDA Church:

Share