TAGT Airport Church

TAGT Airport Church ​Ukurasa rasmi wa TAGT Airport Church. Karibu tushiriki baraka za neno la Mungu, ibada na maombezi.

31/08/2026
31/08/2026

LIITIE JINA LA BWANA YESU HAUTA AIBIKA MILELE||WWM AIRPORT ||Na itakuwa kila atakayeliitia jina la Bwana ataokolewa.

Matendo ya Mitume 2:21
kwa kuwa, Kila atakayeliitia Jina la Bwana ataokoka.

Warumi 10:13




30/08/2026

WWM AIRPORT ||MUITE YESU ||

30/08/2026

WWM AIRPORT ||MUITE YESU ||
kwaya ya idara ya wanawake wa maombi [WWM] wakimtukuza Bwana Yesu.



30/08/2026

3 Basi jua siku hii ya leo kuwa Bwana, Mungu wako, ndiye atanguliaye kuvuka mbele yako k**a moto uteketezao; atawaangamiza, tena atawaangusha mbele yako; ndivyo utakavyowafukuza na kuwapoteza upesi, k**a alivyokuambia Bwana.
Kumbukumbu la Torati 9:3

4 Usiseme moyoni mwako, Bwana, Mungu wako, atakapokwisha kuwasukumia nje mbele yako, ukasema, Ni kwa haki yangu alivyonitia Bwana niimiliki nchi hii; kwani ni kwa ajili ya uovu wa mataifa haya Bwana awafukuza nje mbele yako.
Kumbukumbu la Torati 9:4

30/08/2026

HALLELUJAH,HOSANA
||Bishop Godwin Yona || TAGT Taifa-
MSIFU MUNGU JUMAPILI HII YA MWISHO WA MWEZI WA NANE.
KARIBU TUABUDU PAMOJA.



28/08/2026

ACHA KUJIANGALIA MWENYEWE-INUA MACHO YAKO MTAZAME BWANA
||BISHOP GODWIN YONA ||TAGT AIRPORT

Address

Airport, Karakata, Map=T. A. G. T, HQ
Dar Es Salaam
11000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TAGT Airport Church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share