Uwanjani SDA choir

Uwanjani SDA choir Uwanjani ni kwaya ya kanisa la Waadventista wasabato LUHANGA MABIBO DAR ES SALAAM TANZANIA.

K**a upo karibu, tunakukaribisha!
15/07/2026

K**a upo karibu, tunakukaribisha!

15/04/2026

"๐Œ๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ hatazami mwanzo wa safari yako, anakutazama unamalizaje mwendo."

๐”๐ฐ๐š๐ง๐ฃ๐š๐ง๐ข ๐’๐๐š ๐‚๐ก๐จ๐ข๐ซ Pamoja na ๐’๐ฒ๐จ๐ค๐ข๐ฆ๐š๐ฎ ๐‚๐ž๐ง๐ญ๐ซ๐š๐ฅ ๐‚๐ก๐ฎ๐ซ๐œ๐ก ๐‚๐ก๐จ๐ข๐ซ ๐Š๐ž๐ง๐ฒ๐š, tukiimba wimbo wa pamoja.

Tukiwa tunaendelea na Ibada siku ya Sabato Syokimau Central Church Nchini Kenya.
11/04/2026

Tukiwa tunaendelea na Ibada siku ya Sabato Syokimau Central Church Nchini Kenya.

06/04/2026

Wale marafiki zetu wa Kenya, tukutane Pale Syokimau Central Church

11/03/2026

Mambo ya kesho hatuyatambui, wala hatujui safari ya maisha itatufikisha wapi.
Lakini tunachojua ni kwamba ๐™ˆ๐™ช๐™ฃ๐™œ๐™ช anayeshika ๐™†๐™š๐™จ๐™๐™ค yetu hawezi kutuacha peke yetu. Tutaendelea kumtegemea kwa imani, hata pale njia inapokuwa ngumu.
Kwa sababu tunajua kila jambo lina wakati wake na ๐™ˆ๐™ช๐™ฃ๐™œ๐™ช ana mpango mzuri juu ya maisha yetu. Ndiyo maana tunaishi ๐™ก๐™š๐™ค kwa matumaini, tukijua ๐™ ๐™š๐™จ๐™๐™ค ipo mikononi mwa ๐™ˆ๐™ช๐™ฃ๐™œ๐™ช.
_____________________________________________
๐™”๐™–๐™ ๐™ค๐™—๐™ค 4:13-16
13 ๐™ƒ๐™–๐™ฎ๐™– ๐™—๐™–๐™จ๐™ž, ๐™ฃ๐™ž๐™ฃ๐™ฎ๐™ž ๐™ข๐™จ๐™š๐™ข๐™–๐™ค, ๐™‡๐™š๐™ค ๐™–๐™ช ๐™ ๐™š๐™จ๐™๐™ค ๐™ฉ๐™ช๐™ฉ๐™–๐™ž๐™ฃ๐™œ๐™ž๐™– ๐™ ๐™–๐™ฉ๐™ž๐™ ๐™– ๐™ข๐™Ÿ๐™ž ๐™›๐™ช๐™ก๐™–๐™ฃ๐™ž ๐™ฃ๐™– ๐™ ๐™ช๐™ ๐™–๐™– ๐™๐™ช๐™ข๐™ค ๐™ข๐™ฌ๐™–๐™ ๐™– ๐™ข๐™ฏ๐™ž๐™ข๐™–, ๐™ฃ๐™– ๐™ ๐™ช๐™›๐™–๐™ฃ๐™ฎ๐™– ๐™—๐™ž๐™–๐™จ๐™๐™–๐™ง๐™– ๐™ฃ๐™– ๐™ ๐™ช๐™ฅ๐™–๐™ฉ๐™– ๐™›๐™–๐™ž๐™™๐™–;

14 Walakini hamjui yatakayokuwako ๐™ ๐™š๐™จ๐™๐™ค. Uzima wenu ni nini? Maana ninyi ni mvuke uonekanao kwa kitambo, kisha hutoweka.

15 Badala ya kusema, Bwana akipenda, tutakuwa hai na kufanya hivi au hivi.

16 Lakini sasa mwajisifu katika majivuno yenu; kujisifu kote kwa namna hii ni kubaya.

Ibi Den, Anthony Karumbete, Nyarkisa Ruth, Loveness Mbonea, Nyar Okomo, Isack Sadani, Neema Kagoswe, Zint Shaz, Hagai John Njolegwa, Ibrahim Kibona, Rehani Zabroni

03/02/2026

๐™๐™›๐™ช๐™ฃ๐™ช๐™ค 21:13

โ€œUpande wa mashariki kulikuwa na milango mitatu, upande wa kaskazini milango mitatu, upande wa kusini milango mitatu, na upande wa magharibi milango mitatu.โ€

25/12/2025

๐˜๐„๐’๐” ๐๐ˆ๐‘๐Ž

Tukiwa kwenye zoezi

Matukio katika Picha siku ya Sabato tukiwa na marafiki zetu kutokea Syokimau Central Sda Church Choir kutokea Nairobi Ke...
20/12/2025

Matukio katika Picha siku ya Sabato tukiwa na marafiki zetu kutokea Syokimau Central Sda Church Choir kutokea Nairobi Kenya.

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255745884334

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Uwanjani SDA choir posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share