DINI YANGU

DINI YANGU UKURASA HUU NI MAALUMU KWAAJILI YA MAFUNZO MBALI MBALI YA KIDINI NA YAKIJAMII.

04/03/2026

Tamaa ina sauti kubwa lakini ladha yake ni fupi saana

03/03/2026

Maqaamat

*CHEMSHA BONGO YA RAMADHANI* πŸŒ™πŸŒ™πŸ•ŒπŸ•ŒπŸ•Œ Mtume katika maisha yake yote *alihiji* mara ngapi A). Mara mojaB). Mara mbiliC). Mar...
27/02/2026

*CHEMSHA BONGO YA RAMADHANI* πŸŒ™πŸŒ™πŸ•ŒπŸ•ŒπŸ•Œ

Mtume katika maisha yake yote *alihiji* mara ngapi

A). Mara moja

B). Mara mbili

C). Mara tatu

D). Hajawahi kuhiji hata mara moja

E). Hakuna jibu sahihi kati ya hayo

Tafadhali jibu kwa usahihi kwa faida ya watu wengine kwasababu kuna watu wanajifunza kitu kupitia majibu yako

Kumbuka elimu yako utakayo itoa huwenda ikawa ndo sadaka yako siku ya kiyama inshaallah.

kareeem 🌼

CHEMSHA BONGO YA RAMADHANI πŸŒ™πŸŒ™πŸ•ŒπŸ•ŒπŸ•ŒπŸŒ™Ni aya ipi katika Quran ndio aya fupi zaidi kuliko aya zote na inapatikana katika sura ...
26/02/2026

CHEMSHA BONGO YA RAMADHANI πŸŒ™πŸŒ™πŸ•ŒπŸ•ŒπŸ•ŒπŸŒ™

Ni aya ipi katika Quran ndio aya fupi zaidi kuliko aya zote na inapatikana katika sura gani

Tafadhali toa elimu kwa faida ya watu wengine

Kumbuka elimu yako utakayo itoa huwenda ikawa ndo sadaka yako siku ya kiyama inshaallah

24/02/2026

Hivi inakuaje mtu anakasirika iwapo atapitwa na daku lkn hakasiriki iwapo atapitwa na swala ya asbuhπŸ€”πŸ€”πŸ€”

23/02/2026

kobisi kikala ukipenda muite jobless wa taifa anawatakia ramadhani kareemπŸŒ™

Chemsha bongo ya ramadhani 🌼Ni sura gani kati ya hizi haina herufi (mim)1. Suurat nanasi?2. Suurat asri?3. Suurat Swamad...
23/02/2026

Chemsha bongo ya ramadhani 🌼

Ni sura gani kati ya hizi haina herufi (mim)

1. Suurat nanasi?
2. Suurat asri?
3. Suurat Swamad?
4. Suurat Kauthar?

Ramadhani kareeem 🌼 πŸ’•

20/02/2026

ramadhani kareeem πŸŒΌπŸ’•

25/03/2025

UJUMBE MUHIMU KWA WANAWAKE

21/03/2025

IJUE DUA YA KUWEKA MKONO KWA MKEO WAKATI WA NDOA.

Mtume Muhammad (saww) ametufundisha kuwa dua hii inasaidia kuwalinda wanandoa dhidi ya ushawishi wa Shetani, ambaye daima hutaka kuharibu ndoa na mahusiano ya halali.

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255652373150

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DINI YANGU posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share