Bethel UMC, Dar es Salaam

Bethel UMC, Dar es Salaam Bethel Christian Centre( BBC) Magole is a UM Church in Dar es Salaam, We are an active community of Christians

TUNA SHUKURU MUNGU TUMEKUWA NA IBADA NZURI HAPA BETHEL. Asante Pastor ADROSIA JOSIA. MERRY CHRISTMAS TO ALL OUR FRIENDS.
25/12/2025

TUNA SHUKURU MUNGU TUMEKUWA NA IBADA NZURI HAPA BETHEL. Asante Pastor ADROSIA JOSIA. MERRY CHRISTMAS TO ALL OUR FRIENDS.

2ND DAY OF SEMINAR AT BETHEL CHRISTIAN CENTRE ( BBC ) UNITED METHODIST CHURCH MAGOLE. MCH ADROSIA JOSIA KUTOKA BAMIA UMC...
24/12/2025

2ND DAY OF SEMINAR
AT BETHEL CHRISTIAN CENTRE ( BBC ) UNITED METHODIST CHURCH MAGOLE.
MCH ADROSIA JOSIA KUTOKA BAMIA UMC ANA TUHUDUMIA NENO LA MUNGU PAMOJA NA MAOMBI.

KARIBU KESHO KWENYE IBADA YA CHRISTMAS. IBADA ITAANZA SAA 3:00 ASUBUHI HADI SAA 5: ASUBUHI.!!
NJOO NA MGENI MOJA.


& Kulindwa

Bethel, before and after with five years. Indeed our God has done ✅   and let us accomplish God’s Sanctuary.!
24/12/2025

Bethel, before and after with five years. Indeed our God has done ✅
and let us accomplish God’s Sanctuary.!

1ST DAY OF SEMINAR AT BETHEL CHRISTIAN CENTRE ( BBC ) UNITED METHODIST CHURCH MAGOLE. MCH ADROSIA JOSIA KUTOKA BAMIA UMC...
23/12/2025

1ST DAY OF SEMINAR
AT BETHEL CHRISTIAN CENTRE ( BBC ) UNITED METHODIST CHURCH MAGOLE.
MCH ADROSIA JOSIA KUTOKA BAMIA UMC ANA TUHUDUMIA NENO LA MUNGU PAMOJA NA MAOMBI YA KUTOSHA.

KARIBU KESHO NA SEMINA YETU INAENDELEA NJOO NA MGENI MOJA.


& Kulindwa

NAPENDA KUKUKARIBISHA WEWE RAFIKI YETU KUSALI NASI KESHO KATIKA IBADA YA KUMSIFU  NENO LA MUNGU. MTUMISHI WA MUNGU POLID...
29/11/2025

NAPENDA KUKUKARIBISHA WEWE RAFIKI YETU KUSALI NASI KESHO KATIKA IBADA YA KUMSIFU NENO LA MUNGU. MTUMISHI WA MUNGU POLIDORI B. POLIDORI ATAKUWEPO.

NI FURAHA YETU KUKUONA KESHO
Bethel UMC, Magole Mwisho, Kitunda, DSM, Tanzania.🇹🇿

MUDA: Saa 4 Asubuhi Hadi 6 Mchana
KWA MAWASIANO TUPIGIE KWA NAMBA: 0769948924 sms & WhatsApp!!! MUNGU AKUBARIKI SANA!!!

COME & WORSHIP WITH US TOMORROW!!
( Usipange kukosa )


&Kulindwa

27/10/2025

We need your support and prayers to finish our construction at Bethel UMC.

We need Christ, we need you as our friend to build God’s kingdom in Tanzania.

TUNASHUKURU MUNGU TUMEKUWA NA IBADA NZURI YA WEEK YA VIJANA hapa Bethel UMC, DAR es Salaam, Magole, Kitunda..!! Rev. Den...
26/10/2025

TUNASHUKURU MUNGU TUMEKUWA NA IBADA NZURI YA WEEK YA VIJANA hapa Bethel UMC, DAR es Salaam, Magole, Kitunda..!!
Rev. Denis Kawaya kwa Neno Nzuri la Leo. Asante Yesu.

KARIBU WEEK IJAYO.


& Kulindwa

NAPENDA KUKUKARIBISHA WEWE RAFIKI YETU KUSALI NASI KESHO KATIKA IBADA YA KUMSIFU  MUNGU NA NENO LA MUNGU NI FURAHA YETU ...
25/10/2025

NAPENDA KUKUKARIBISHA WEWE RAFIKI YETU KUSALI NASI KESHO KATIKA IBADA YA KUMSIFU MUNGU NA NENO LA MUNGU

NI FURAHA YETU KUKUONA
Bethel UMC, Magole Mwisho, Kitunda, DSM, Tanzania.🇹🇿 IBADA ITA HUDUMIWA NA VIJANA WA NGUVU KUTOKA BETHEL.

MUDA: Saa 4 Asubuhi Hadi 6 Mchana
KWA MAWASIANO TUPIGIE KWA NAMBA: 0769948924 sms & WhatsApp!!! MUNGU AKUBARIKI SANA!!!

COME & WORSHIP WITH US TOMORROW!!
( Usipange kukosa ) TUTAFURAHI SANAA KUKUONA.


&Kulindwa

Address

Magole
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bethel UMC, Dar es Salaam posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Bethel UMC, Dar es Salaam:

Share