19/03/2026
Jana kelele zilikuwa nyingiβ¦ leo kimya kimechukua nafasi π baada ya madunduka makolo kupata SARE
Sare si mbaya, ila ikiwakuta waliokuwa wanaongea sana inafundisha nidhamu.
Sisi hatupigi kelele, tunafanya kazi ππ
ubingwa tunauishi, sio kuusimulia π
Mwisho wa sikuβ¦ kelele hupotea, lakini ubingwa hubaki ππ₯
Follow