Pastor Materu

Pastor Materu 📖•Psams 105:1-4
👏•Praise and Worship Service
🚀•Cultavating Gospel Talents
📌•Healing through Prais

UKOMBOZI DAY DATE9/12/2024 LOCATIONMTBC MINISTRYTHE HEALING MISSIONARIES™ TUTAONGOZA IBADA HII YA KIHISTORIA.  USIKOSEUS...
03/12/2024

UKOMBOZI DAY

DATE
9/12/2024

LOCATION
MTBC MINISTRY

THE HEALING MISSIONARIES™

TUTAONGOZA IBADA HII YA KIHISTORIA.

USIKOSE
USIJE PEKE YAKO
NJOO NA RAFIKI YAKO


UKOMBOZI DAY2.KUTOKA 23;25WAKATI WA  MUNGU NI SASAWAKATI WA BWANA KUINULIWA ZAIDI NA ZAIDI KWENYE MISINGI YA TAIFA HILI ...
26/11/2024

UKOMBOZI DAY
2.KUTOKA 23;25

WAKATI WA MUNGU NI SASA

WAKATI WA BWANA KUINULIWA ZAIDI NA ZAIDI KWENYE MISINGI YA TAIFA HILI NI HUU

UNGANA NASI KWENYE IBADA YA KUPANDISHA MAOMBI YETU YA MUNGU KUIBARIKI NA KUIREHEMU TANZANIA NA AFRIKA KWA UJUMLA KWA AJILI YA KUSUDI LAKE

Watu wa Mungu mko tayari?.
03/05/2024

Watu wa Mungu mko tayari?.

The healing Missionaries™Usikose KUTUFWATILIA siku ya Kesho Asubuhi tutakua hapa ETv na Efm kwenye church on fire     nm...
30/03/2024

The healing Missionaries™
Usikose KUTUFWATILIA siku ya
Kesho Asubuhi tutakua hapa ETv na Efm kwenye church on fire nmwasha .

THE HEALING MISSIONARIES™.GLORY BE TK GODTHANK U EVERY ONE WHO SUPPORT US..
19/03/2024

THE HEALING MISSIONARIES™.
GLORY BE TK GOD
THANK U EVERY ONE WHO SUPPORT US..

THE HEALING MISSIONARIES™.IT'S TODAYAND TUTAKUA LIVE YOUTUBE NA ROC TV  .
03/03/2024

THE HEALING MISSIONARIES™.
IT'S TODAY
AND TUTAKUA LIVE YOUTUBE
NA ROC TV .

THE HEALING MISSIONARIES™.We Thank lordHakika tunasema Asante bwana Kwa kutimiza Mwaka mmoja WA huduma yetu ya The Heali...
02/03/2024

THE HEALING MISSIONARIES™.
We Thank lord
Hakika tunasema Asante bwana Kwa kutimiza Mwaka mmoja WA huduma yetu ya The Healing missionary hakika Tunakila sababu za kumshuku Mungu Kwa yote aliyo tutendea kwenye huduma yetu..
Leo tupo live kwenye channel yetu ya YouTube na Tv channel ya Roc TV .

THE HEALING MISSIONARIES™.1 YEAR ANNIVERSARY03/03/2024 .Tutakua LIVE On Our YouTube Channel yetu ya  And ROC TV .Kutoka ...
02/03/2024

THE HEALING MISSIONARIES™.
1 YEAR ANNIVERSARY
03/03/2024 .
Tutakua LIVE On Our YouTube Channel yetu ya
And ROC TV .
Kutoka kwenye huduma ya Reality of Christ
Mungu Ametupa kibali na Neema ya kua na Mtumishi wa Mungu Pastor Sanbella Kyando hakika itakua ni ibada ya pekee sana yenye sifa na shukrani mbele za Mungu wetu..
Hakika hii siyakukosa.
Je umealikwaa?.

THE HEALING MISSIONARIES™.1 YEAR ANNIVESARY 03/03/2024.KUELEKEA KWENYE IBADA NZURI YA SHUKRANI KWA KUTIMIZA MWAKA MMOJA ...
02/03/2024

THE HEALING MISSIONARIES™.
1 YEAR ANNIVESARY
03/03/2024.
KUELEKEA KWENYE IBADA NZURI YA SHUKRANI KWA KUTIMIZA MWAKA MMOJA WA HUDUMA SISI THE HEALING MISSIONARIES.
KESHO TUTAKUA LIVE NDANI YA CHOMOZA YA CLOUDS TV USIKOSE KUTUFWATILIA HII SIO YAKUKOSA KABISA. .samsasali360 .

Address

Sinza
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pastor Materu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Pastor Materu:

Share