Hema la watakatifu tanzania

Hema la watakatifu tanzania Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Hema la watakatifu tanzania, Church of God, Tabata kimanga, Dar es Salaam.

26/05/2026
29/10/2021

MAOMBI MAALUMU KWENYE MAPOROMOKO YA MAJI-KALAMBO

29/10/2021



Bishop Onesmo Jackson alifanya Maombi maalumu kwenye Maporomoko ya Kalambo.

Maporomoko ya maji haya ni ya pili baada ya yale ya Tugela Afrika ya Kusini lakini pia Maji yake yanaishia bahari ya Atlantiki kupitia ziwa Tanganyika na mto Kongo.maporomoko haya yamepakana na Zambia.

maji yanapoanzia kumwagika hadi yanapodondokea ni mita 235na upana wa mita 3.6 hadi mita18.

MUNGU NI MWEMA KWA UWEZA WAKE

ubarikiwe Sana.

Baba sichukui hata chembe ya utukufu wako
28/10/2021

Baba sichukui hata chembe ya utukufu wako

28/10/2021

MAOMBI NA MAOMBEZI YA KUFUNGULIWA KUTOKA KWENYE KIFUNGO CHA SHETANI.

Malika mwaka 2021 kwa ushindi, MUNGU ATATENDA MAKUBWA.

Ubarikiwe sana.

Address

Tabata Kimanga
Dar Es Salaam

Telephone

+255717138099

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hema la watakatifu tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category