Pastor Emmanuel Wa Yesu

Pastor Emmanuel Wa Yesu UKURASA UNAHUSU KUTANGAZA INJILI YA YESU KRISTO NA KUTANGAZA UPONYAJI KWA MATAIFA YOTE

NGUVU YA MUNGU MTEMBEO WA INJILI HEKIMA YA KIROHO NA UJIO WA KASI WA NGUVU ZA ROHO ZA KINABII

Bwana Yesu asifiwe Kila lililopangwa na Mungu kwenye maisha yako litakuwa hakuna Binadamu wa kulibadiliIsaya 14:27[27]Ma...
27/12/2021

Bwana Yesu asifiwe

Kila lililopangwa na Mungu kwenye maisha yako litakuwa hakuna Binadamu wa kulibadili

Isaya 14:27
[27]Maana BWANA wa majeshi amekusudia, naye ni nani atakayelibatili? Na mkono wake ulionyoshwa, ni nani atakayeugeuza nyuma?

26/07/2020

Bwana Yesu akawabariki

13/07/2020

Kitu Cha kwanza kikubwa tengeneza mahusiano mazuri na Mungu halafu Mungu atakupa wanadamu wenye mahusiano mazuri kwako

Bwana Yesu asifiwe wapendwaKuna watu ambao waliokoka na wakipita kwenye shida au changamoto wanalalamika Sana wanasahau ...
12/07/2020

Bwana Yesu asifiwe wapendwa

Kuna watu ambao waliokoka na wakipita kwenye shida au changamoto wanalalamika Sana wanasahau kuwa hata Yesu alipita majaribu na vikwazo lakini kwa msaada wa Mungu alishinda

Nasi pia Kuna muda tunapita kwenye vikwazo lakini haitupasi kukwepa vikwazo jua vinatujenga na kutupa hatua mpya ya maisha Cha msingi usiache kuomba na kumcha Mungu pindi upitiapo changamoto ili Mungu ahusike kukuvusha

Mungu huzungumza nasi kila saa ila kuna vizuizi vya kimaisha ambavyo huzuia sauti ya Mungu tusiisikie maishani mwetu Kwa...
05/01/2020

Mungu huzungumza nasi kila saa ila kuna vizuizi vya kimaisha ambavyo huzuia sauti ya Mungu tusiisikie maishani mwetu

Kwaza fahamu ya kuwa Mungu huzungumza nawe kupitia Hisia zako fikra pia kupitia Neno la Mungu katika Biblia

Kwahiyo ukikosa kusoma neno la Mungu jua umekosa kipengele kimoja wapo cha kusikia sauti ya Mungu

Dhambi huzuia pia sauti ya Mungu kwako maana unakuwa umejitenga na uwepo wa Mungu

Kutokuwa na self fellowship au uabudu binafsi na Mungu pia huchangia kutosikia sauti ya Munch

Nawatakia jumapili njema Mungu awabariki

Kuwa makini na kile ukionacho kupitia macho yako kwa sababu kwa kupitia jicho waweza kubadilika mfumo wa maisha yako kuw...
04/01/2018

Kuwa makini na kile ukionacho kupitia macho yako kwa sababu kwa kupitia jicho waweza kubadilika mfumo wa maisha yako kuwa mzuri au kukuharibu

Mungu akusaidie kupitia kuona kwako akupe kuona na kupambanua mema na Mabaya ukafanikwe

Mathayo 6:22
[22]Taa ya mwili ni jicho; basi jicho lako likiwa safi, mwili wako wote utakuwa na nuru.

Uwe na siku njema

Zekaria 1:3[3]Basi, uwaambie, BWANA wa majeshi asema hivi, Nirudieni mimi, asema BWANA wa majeshi, nami nitawarudia niny...
22/10/2017

Zekaria 1:3
[3]Basi, uwaambie, BWANA wa majeshi asema hivi, Nirudieni mimi, asema BWANA wa majeshi, nami nitawarudia ninyi, asema BWANA wa majeshi.

Muwe na jumapili njema

Karibu sana ujifunze Mahubiri na Pastor Emmanuel
25/08/2017

Karibu sana ujifunze Mahubiri na Pastor Emmanuel

11/04/2017

Watu wengi wamekuwa waki abudu na kumtumikia Mungu katika viwango vya kawaida na kufikiri wana mwabudu Mungu katika roho na kweli

Huwezi ukasema unamwabudu Mungu katika Roho ukiwa pembeni unaendeleza mambo yako binafsi ambayo ni kinyume na Mungu

kwa mfano wewe ni mwimba kwaya halafu unazini au matusi kwako ni k**a jadi

Husikilizi sauti ya Mungu wala maonyo wala hutaki kuongozwa na Roho mtakatifu jua kabisa Humuabudu Mungu katika Roho na kweli maana hata toba haipo ndani mwako

Biblia ninayosoma inasema

Yohana 4:23
[23]Lakini saa inakuja, nayo sasa ipo, ambayo waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli. Kwa maana Baba awatafuta watu k**a hao wamwabudu.

Njombe msipange kukosa Mkutano wa Kinabii waja Mkoani Njombe mtaarifu ndugu Jamaa na Rafiki
10/04/2017

Njombe msipange kukosa Mkutano wa Kinabii waja Mkoani Njombe mtaarifu ndugu Jamaa na Rafiki

09/04/2017

Hakuna asichokijua Mungu juu yako na anakujua kuliko unavyo jijua wewe

Mtumaini Mungu muda wote

04/04/2017

KUSUDI LA MUNGU KWENYE MAISHA YETU

Watu wengi wamekuwa na malalamiko kwa Mungu wakisema ya kwamba Nateseka Duniani kwamba Mungu amewasahau hawana kazi wala vipaji na ajira na kuona kwamba hakuna TUMAINI tena

Biblia ninayosoma inaniambia Mungu wetu anatutambua na kutujua jinsi tulivyo na tutakavyokua tukizaliwa hapa Duniani anafahamu kwa maana hiyo anajua alichotuandalia kinachotakiwa ni sisi kumwomba Mungu atuonyeshe kusudi lake kwetu tusiishi nje ya kusudi na Mpango wa Mungu

Yeremia 1:5
[5]Kabla sijakuumba katika tumbo nalikujua, na kabla hujatoka tumboni, nalikutakasa; nimekuweka kuwa nabii wa mataifa.

Address

Atoshayesu@yahoo. Com
Dar Es Salaam
DARESSALAAM

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00

Telephone

+255765406929

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pastor Emmanuel Wa Yesu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share