Mtu wa Mungu

Mtu wa Mungu I GREET EVERY BODY IN THE NAME OF YESHUAH HAMASHIACH (JESUS CHRIST) OUR LORD AND SAVIOR.

MY NAME IS RENATUS BAVUMA FROM TANZANIA 🇹🇿 EAST AFRICA;

AM HERE FOR THE GREAT CAMISSION OF ALMIGHTY GOD
WICH IS TO TEACH AND TO PREACH THE GOSPEL OF JESUS

25/03/2026

UBATIZO WA MAJI TELE

Siku hizi, wimbi la Wayahudi Kumkubali YESHUAH kuwa BWANA na Mwokozi wa Maisha yao limekuwa kubwa Sana, K**a Uonavyo katika Picha Wayahudi Wakibatizwa katika Mto ya Yordani;

Miaka ya nyuma, ilikuwa vigum kuona wimbi kubwa Namna hii ya Wayahudi Kumgeukia Mungu wao, na Kukubali kwamba YESHUAH ni Mwokozi wa Maisha yao, Hakika Utukufu kwa Mungu juu, Yeye Aliyemtoa YESHUAH kuja Kutafuta na Kuokoa kile kilichopotea!
Bila kujali Utaifa wa mtu wa Kabila yake, Yeye Kazi yake Kuu ni Kuokoa kile kilichopotea.

NI NYAKATI ZA MWISHO

Nasema ni Nyakati za mwisho kwa Sababu! Si kila Myahudi atakayeweza Kuokoa wakati wa thiki Kuu;

Japo Biblia inasema, Wakati Neema ya Mataifa itakapokoma, Na YESHUAH Kuchukua Kanisa, Neema ya Wokovu itawageukia Wayahudi.

Je! Neema itakapowageukia Wayahudi, Unadhani Wayahudi wote watakuwa tayari Kumkubali YESHUAH kuwa BWANA na Mwokozi wa Maisha yao?

Bila shaka, haitakuwa rahisi k**a ambavyo si rahisi wakati huu ambao Neema ya Wokovu bado ipo juu yetu Sisi Mataifa, Maana Dunia na mambo yaliyomo katika dunia, Ni matamu kwa watu wa dunia pia;

Kwa vile, Kumkubali YESHUAH Ni "Kuikana" Nafsi yako, katika Dunia hii yenye Maasi ya kila Namna hii!
Na Kumkataa YESHUAH ni "Kuikubali Nafsi" yako katika dunia, kwa maana ya kuwa tayari Kuipa Nafsi yako Mambo Maasi ya Dunia.

ISEMAVYO BIBLIA

(Luka 9:23-26) Nukuu:

[23] Akawaambia wote, "mtu ye yote akitaka Kukifuata, na 'Ajikane' mwenyewe, 'Ajitweke' Msalaba wake kila siku, Anifuate.

[24] Kwa kuwa mtu atakaye kuiponya nafsi yake 'ataiangamiza', na mtu 'atakayeiangamiza' nafsi yake kwa ajili yangu 'atakayeisalimisha'.

[25] Kwa kuwa yamfaa nini mtu kuupata ulimwengu wote, k**a 'akijiangamiza', au kuipoteza mwenyewe?

▪︎ Kwa sababu kila atakayenionea haya Mimi na Maneno yangu, Mwana wa Adamu atamwonea haya mtu huyo, atakapokuja katika Utukufu wake na wa Baba na wa Malaika watakatifu.

▪︎ Nami nawaambia kweli: Wapo katika hawa wanaosimama hapa, ambao hawataonja mauti kabisa, hata wauone kwanza ufalme wa Mungu".

Hakika, Vigezo na Masharti kuzingatiwa; Sababu kwa Nini Vigezo na Masharti vizingatiwe, ni Kwa Sababu Mungu alipotuumba aliweka ndani yetu hali ya Kuchagua!

1) Mabaya, au

2) Mema.

Wewe Unachagua nini kati ya moja na mbali?

Nataka ujue, Katika haya mawili, ni Jukumu langu Mimi, Kuchagua Mema ili nipate Mema;

Lakini pia, ni Jukumu lako wewe, Kuchagua Mema ili upate Mema.

▪︎ K**a utaamua Kuchagua Mema, hayo Mema yatakuwa yako,

▪︎ Na k**a utaamua Kuchagua Mabaya, huo Ubaya utakuwa wako.

Habari Njema ni kwamba, YESHUAH HAMASHIACH Bado Anaokoa, Ukiwa tayari, Sali Sala hii pamoja nami.

Ee YESHUAH HAMASHIACH, Mimi ni mwenye dhambi, na kwa muda mrefu nimeishi Maisha ya dhambi;

Mwokozi wa Ulimwengu, YESHUAH HAMASHIACH BWANA wangu, Naomba Unisamehe Dhambi zangu zote!

Kisha, Andika Jina langu Katika Kitabu cha Uzima wa Milele.

Sasa, Nakiri kwamba wewe ni BWANA na Mwokozi wa Maisha yangu, Ahsante kwa Kunisamehe, Ahsante kwa Kumipokea, Ahsante kwa Kunipa Haki ya Kuitwa Mtoto wa Mungu.

Ni Katika Jina Lile Lipitalo Majina yote, YESHUAH HAMASHIACH BWANA wangu, Nimeomba na Kuamini, Amen tena Amen.

25/03/2026
PASSOVER WASN'T JUST A MEAL  IT WAS TEMPLE EVENT:Fist of all I would like to let you know or Understand the different be...
25/03/2026

PASSOVER WASN'T JUST A MEAL IT WAS TEMPLE EVENT:

Fist of all I would like to let you know or Understand the different between Temple and Church,

▪︎ Temple is just a Building where People of God is about to go for services in every week:

▪︎ But Church is the place where the Congregation of Almighty God Gathering to gather for Fellowship and hearing the Word of YESHUAH HAMASHIACH.

As the Bible says in the Book of (Matthew 16:18)

[18] And I say also unto thee, That thou art Peter, and upon this rock I will Build my Church; and the gates of hell shall not prevail against it.

Remember, YESHUAH was the Lamp of God, which taketh away the sin of the world.

(John 1:29) It's Says!

[29] The next day John seeth Jesus coming unto him, and saith, Behold the Lamp of God, which taketh away the sin of the world.

One day, YESHUAH (Jesus) Answered and said unto them, Destroy this temple, and in three days I will raise it up.
(John 2:19)

My beloved Brothers and Sisters, I would like to let you know, The Lamp of Passover in that time, was a Symbolic of YESHUAH HAMASHIACH; (JESUS CHRIST); The One who taketh away our sins as well....!!

That's why I say; The Passover wasn't just a Meal, but was a Temple Event.

23/03/2026

MWONEKANO WA HEKALU:

Wakati Vita Ikipamba Moto huko Mashariki ya Kati, Kati ya ISRAEL na Iran!

Ni vyema tujue kwamba, MWONEKANO wa HEKALU LA TATU LA SULEIMAN Unatarajiwa kuwa hivi;

Nimekuwekea Ramani ya HEKALU Lenyewe hapo Chini, Maana ni Ukweli Usiopingika kwamba Katika Vita Vinavyoendea Mashariki ya Kati, Sidhani k**a Vita vitaisha Bila Kushuhudia Kuvunjwa kwa Msikiti wa Al Aqsa pale Jerusalem.

K**a Uonavyo Mchoro huo, Ndivyo ilikuwa HEKALU la Kwanza, na HEKALU na la Pili, Lakini pia, Ndivyo Linavyokwenda kuwa HEKALU la Tatu la Suleiman.

Kutoka sura ya 25 Mungu Alitoa Maelekezo Namna ya Kumjengea Madhabahu, na Namna Hema ya kukutania itakavyokuwa!
Hivyo Musa na Wana wa ISRAEL Wakafanya k**a vile Mungu alivyosema.

(Kutoka 25:10'22) Nukuu:

[10] Nao na wafanye Sanduku la mti wa Msh*ta; urefu wake na uwe dhiraa mbili na nusu, na upana wake dhiraa moja na nusu, na kwenda juu kwake dhiraa moja na nusu.

[11] Nawe uifunike kwa dhahabu safi, uifunike ndani na nje, nawe tia na ukingo wa dhahabu kulizunguka pande zote.

[12] Nawe subu vikuku vinne vya dhahabu kwa ajili yake, na kuvitia katika miguu yake minne; vikuku viwili upande mmoja, na vikuku viwili upande wake wa pili.

[13] Nawe fanya miti mirefu ya msh*ta na kuifunika dhahabu.

[14] Nawe tia hiyo miti katika vile vikuku vilivyo katika pande mbili za Sanduku ili kulichukua hilo Sanduku.

▪︎ [15] Hiyo miti itakaa katika vile vikuku vya Sanduku; haitaondolewa.

▪︎ [16] Kisha tia ndani ya Sanduku huo Ushuhuda Nitakaokupa.

▪︎ [17] Nawe fanya kiti cha Rehema cha dhahabu safi; urefu wake utakuwa dhiraa mbili na nusu, na upana wake dhiraa moja na nusu.

▪︎ [18] Nawe fanya Makerubi mawili ya dhahabu; ufanye ya kazi ya kufua, katika hiyo miisho ya kiti cha Rehema, huku na huku.

▪︎ [19] Weka Kerubi mmoja mwisho mmoja, na Kerubi la pili mwisho wa pili, fanya hayo Makerubi ya kitu kimoja na kiti cha Rehema, mwisho huu na mwisho huu.
▪︎ [20] Na hayo Makerubi yatainua mabawa yao juu, na kukifunika hicho kiti cha Rehema kwa mabawa yao, na nyuso zao zitaelekeana hili na hili; nyuso za hayo Makerubi zitaelekea kiti cha Rehema.

▪︎ [21] Weka kiti cha Rehema juu ya hilo Sanduku, kisha utie huo Ushuhuda Nitakaokupa ndani ya Sanduku.

▪︎ [22] Nami Nitaonana nawe hapo, na kuzungumza nawe pale nilipo juu ya kiti cha Rehema, katikati ya hayo Makerubi mawili yaliyo juu ya Sanduku la Ushuhuda, katika mambo yote Nitakayokuagiza kwa ajili ya wana wa ISRAEL.

Bila shaka, k**a siyo dhambi, waweza Kusoma Sura hii ya 25 yote, kuanzia mstari wa kwanza mpaka wa mwisho, ili kubaini kwamba Ndivyo ilivyo!

HITIMISHO:

Tarajia Kuona "Mskiti" wa AL AQSA UKIVUNJWA Pale Jerusalem Eneo Takatifu zaidi Duniani, Sababu Kuvunjwa kwa Msikiti,
Ni vile Wayahudi wanataka Kujenga Hekalu la tatu la Suleiman k**a Maandazi ya Mpinga Kristo.

Bila shaka, ni Swala la Kusubiri na kuona Nini kinaenda Kutokea katikati ya Vita Vinavyoendea Mashariki ya Kati.

THE STRUCTURE OF ABRAHAM This is how we Should Know about our Ancestors of our faith:The father of our faith  Abraham he...
16/03/2026

THE STRUCTURE OF ABRAHAM

This is how we Should Know about our Ancestors of our faith:

The father of our faith Abraham he had Sarah his wife and Hagar..

Through Hagar Ishmael was born first, but the Promise of the Covenant would Continue through Issac, who was born to Sarah in their old age.

The "Branches" of Abraham's family is concerned the foundation of both the Israelites {through Issac} and Arabs {through Ishmael}.

Faith: Abraham he revealed as the first Patriarch and the father of Monotheistic faith, Obedient to God's promise.

Issac:
The Son from Sarah whom the Jewish People {Israelites} are Descended line leading to the Messiah.

Ishmael:
Son of Hagar, recognised as the Patriarch of many Arab tribes {the Twelve tribes of Ishmael} and central to Islamic traditions.

PHYSICAL AND SPIRITUAL DESCENDANTS

Physical:
The progeny mentioned above that trace their ancestry through bloodline, Specifically the Issac-Jacob line {Jews} and the Ishmael line }Arabs}.

Spiritual:
According to New Testament theology {Galatians}, anyone who Possesses faith in God is Considered a Spiritual Son or Daughter of Abraham, regardless of Physical lineage.

Significance in Traditions:

Judaism: Recognises Abraham as the first Patriarch, with the Covenant Passing through Issac like I said before...

Islam: Recognises Abraham as a Prophet and Ishmael as the Ancestorof Muhammad.

Christianity: Emphasise faith as the defining factor, where both Jews and Gentile can be heirs to the Promise.

ZIJUE NCHI ZENYE WAYAHUDI WENGI Shavua Tov ISRAEL, Shavua Tov BibiISRAEL Ni Mzaliwa wa kwanza wa Mwenyezi Mungu!ISRAEL N...
15/03/2026

ZIJUE NCHI ZENYE WAYAHUDI WENGI

Shavua Tov ISRAEL, Shavua Tov Bibi

ISRAEL Ni Mzaliwa wa kwanza wa Mwenyezi Mungu!
ISRAEL Ndiyo Nchi Pekee zaidi Duniani ambayo watu wake waliwahi Kuishi Nje ya Nchi yao kwa Miaka mingi Zaidi kuliko zote;

Mfano:

▪︎ ISRAEL, Mwenyezi Mungu Aliwapeleka Utumwani Misri kwa Miaka 430

▪︎ ISRAEL, Mwenyezi Mungu aliwahi wapeleka Utumwani Babeli au Persia kwa Miaka 70

▪︎ Baadaye Aliamua Kuwatawanya Ulimwenguni pote k**a iliyo leo.

NCHI KUMI ZENYE WAYAHUDI WENGI

Tazama...!! Watu wa ISRAEL, kwa maana ya Wayahudi au Waebrani wanaoishi Nje ya Nchi yao, Ni zaidi ya Million 9,355,000

â—‡ Nchini Marekani Kuna Wayahudi Million 7,500 000
â—‡ Nichini Ufaransa Kuna Wayahudi Laki 450,000

â—‡ Nchini Canada Kuna Wayahudi Laki 400,000

â—‡ Nchini Uingereza Kuna Wayahudi Laki 290,000

â—‡ Nchini Argentina Kuna Wayahudi Laki 180,000

â—‡ Nchini Urusi Kuna Wayahudi Laki 150,000

â—‡ Nchini Ujerumani Kuna Wayahudi Laki 120,000

â—‡ Nchini Australia Kuna Wayahudi Laki 120 000

â—‡ Nchini Brazil Kuna Wayahudi Laki 95,000

â—‡ Nchini South Africa Kuna Wayahudi Elfu 50,000

Jumla yake ni Millioni 9,355,000

Hebu jaribu kufikiri Kidogo, Hao Wayahudi Millioni 9,355,000 wakiamua kurudi wote Nchini kwao ISRAEL, j
Je! Watapata mahali pa kuishi?

Kwa Sababu hiyo, Ndiyo maana pale ISRAEL Kuna Ujenzi wa Nyumba kwa ajili ya Wayahudi wanaokaa Uhamishoni katika nchi za Kigeni; Hata hivyo, wamekuwa wakirudi kwao, Karibu kila Mwezi kuna Wayahudi wanaorudi Nchini kwao!

Maana haya ndiyo majira yao Sahihi kurudi nchini kwao ili kuongeza Nguvu ya Kujilinda dhidi ya Adui zao;
Bila shaka, kwa Kweli huu, Umepata kitu cha Msingi, na Umejifunza kwa kiasi fulani hivi, na Sasa k**a unapenda kujifunza zaidi na zaidi Karibu Tujifunze Pamoja kwa Utukufu wa Mungu Baba.

THE KING IS BACKShavua Tov Bibi Shavua Tov ISRAEL 🇮🇱 Hivi Ndivyo tuwezavyo kusema kwamba {The King is Back} yaani "Mfalm...
15/03/2026

THE KING IS BACK

Shavua Tov Bibi Shavua Tov ISRAEL 🇮🇱

Hivi Ndivyo tuwezavyo kusema kwamba {The King is Back} yaani "Mfalme Amerudi", si kwamba mfalme amerudi tu, Bali, Mfalme Amerudi kwa Kishindo;

Si Mwingine, ila ni Waziri Mkuu wa ISRAEL Benjamin Netanyahu a.k.a Bibi!
Kwani wao wanasemaje?

ASEMAVYO MTU WA MUNGU

Kelele zimekuwa nyingi, matarajio ya wengi yanakuwa "Ndivyo sivyo", Swali la Kujiuliza, kwani wanatakaje labda...

Benjamin Netanyahu Amesema kuwa, Atengeneza Mazingira ya Kurudi kwa Messiah: Hii Ndiyo Sababu tunasema, "Mfalme Amerudi", tena Amerudi kwa Kishindo wala si vinginevyo.

Zaidi sana, Vyema Kutambua kwamba, ISRAEL yupo hapa Mashariki ya Kati Kudumu si muda fulani tu;
Bali yupo Sana kwa Utukufu wa Mzee wa Siku.

Juzi Nilisema, Kujaribu Kupigana na ISRAEL, kivyovyote, ni Kujaribu "Kuupiga Mchokoo" Teke, Je!, waweza Kuupiga Mchoo Teke ukawa Salama?
Ni swala la Kusubiri na kuona mwisho wake, kwa vile, Mwenyezi Mungu Ndiye Aliyeipanda ISRAEL hapo Mashariki ya Kati mara baada ya Kunyang'oa Mataifa 7 yaliyokuwa na Nguvu zaidi kuliko wana wa Yakobo, {yaani ISRAEL}.

(Kumbukumbu La Torati 7:1) Nukuu:

[1] BWANA, Mungu wako, Atakapokutia katika nchi Uendayo Kuimiliki, Atakapoyang'oa mataifa mengi watoke mbele yako;

▪︎ Mhiti, na
▪︎ Mgiligashi, na
▪︎ Mwamori, na
▪︎ Mkanaani, na
▪︎ Mperizi, na
▪︎ Mhivi, na
▪︎ Myebusi, mataifa Saba Makubwa yenye Nguvu kukupita wewe;

[2] wakati BWANA, Mungu wako, atakapowatoa mbele yako, nawe "Utawapiga"; wakati huo ndipo uwaondoe kabisa; Usifanye agano nao, wala kuwahurumia; wala Usioane nao;

[3] Binti yako usimpe mwanawe mume, wala usimtwalie mwanao mume binti yake.

Ndugu, kila Kinachoendelea Mashariki ya Kati, Hakitokei kwa "dharua' wala 'Bahati mbaya', bali ni Mpango Mzima kati ya ISRAEL na Iran, maana hawajaanza leo...

Ikumbukwe, ISRAEL imewahi kuwa watumwa wa Iran wakati huo Iran iliokuwa ikitwa Babeli au (Persian)
Kwa maana hiyo Ugomvi wao jana na juzi, bali ni wa Kalne na Kalne zilizopita; Je, Uliyajua haya?

Address

Mbezi Louis
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00

Website

http://ijuebiblia.blogspot.com/

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mtu wa Mungu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Mtu wa Mungu:

Share