26/06/2025
*Shalom! Shalom! Wapendwa,
Napenda kuchukua nafasi hii kukukaribisha kwenye ibada hii nzuri ambayo Bwana ameiandaa kwa ajili yetu...
Toka January Hadi June, yapo mambo mengi ambayo Bwana amefanya kwenye maisha yetu, kwenye familia zetu, kwenye Taifa na zaidi sana kwenye kanisa...
Njoo Tumsifu Mungu...
Njoo tumshukuru Mungu kwa pamoja...
Njoo tumwabudu Mungu kwa pamoja...
Lakini pia, mkaribishe jirani, ndugu, jamaa na marafiki waje tushiriki pamoja katika ibada hii njema...
Wagonjwa, waliofungwa na nguvu za giza na wenye shida mbalimbali wataonbewa kwa jina la Yesu Kristo, na wote watafunguliwa na kuponywa kabisa...
Kwaya mbalimbali zitakuwepo ajili ya kutuhudumia...
Kesho, Moto utawaka 🔥🔥🔥🔥🔥
Uwe na Maandalizi mema ya Ibada ya Mkesha
*"USIKU WA SHUKRANI"*
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥