MTANI life is skills

RC MAKONDA ATAHADHARISHA KUHUSU WALAGHAI WANAOTUMIA NENO LA MUNGU KURUBUNI WANANCHI.Akizungumza na maelfu ya Wananchi wa...
21/09/2024

RC MAKONDA ATAHADHARISHA KUHUSU WALAGHAI WANAOTUMIA NENO LA MUNGU KURUBUNI WANANCHI.
Akizungumza na maelfu ya Wananchi wanaohudhuria Kongamano kubwa la Operesheni Washa Taa linaloratibiwa na Mtume Boniface Mwamposa wa Kanisa la Inuka Uangaze, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda amewataka watanzania kuwakataa watu wanaotumia Neno la Mungu na mavazi rasmi ya Viongozi wa dini katika kuwarubuni Watanzania na kujinufaisha kupitia maandiko matakatifu.
"Ukimuona mtu yeyote mwenye jina au nafasi yoyote ya kidini lakini umaarufu wake hautokani na kazi ya mikono ya Kristo, hautokani na kazi za Mungu na za neno la Mungu, jua huyo ni Kiongozi wa dini feki. Nikupe mfano unielewe, Apostle Mwamposa hapa kamtaja Yesu Mwanzo mpaka mwisho, mmejaa hapa mnashuhudia kazi za neno la Mungu kupitia kinywa cha Mtumishi wake aliyepakwa mafuta kwaajili ya nyakati hizi, Heshima aliyonayo ni ya kufanya kazi ya Mungu ambayo sisi ni mashuhuda wa Matunda na maandiko yanasema mtawajua kwa matunda yao." Amesema Mhe. Makonda.
Mhe. Makonda amewaambia watanzania kuwa kumekuwepo na lindi kubwa la wanaojiita watumishi wa Mungu sasa hivi wakiwa na ukwasi na majina maarufu lakini umaarufu wao hautokani na kazi ya Uponyaji na kazi za mikono ya Kristo k**a ambavyo kanuni zinazungumza kuhusu wakristo na Ukristo ulimwenguni kote.
Katika kudhihirisha uhakika wa kile alichokizungumza, Mhe. Paul Christian Makonda amealika na kuwakaribisha watu wanaohitaji mjadala naye kuhusu Ukristo, namna inavyotakiwa maisha ya mkristo kuwa pamoja na namna mbalimbali ambazo Mungu ameagiza na kuelekeza Wakristo katika utatuzi wa changamoto za kijamii na namna wanavyotakiwa kuishi wao pamoja na Viongozi wao wa kidini.

Heee 😂😂😂
20/09/2024

Heee 😂😂😂

Ujumbe wa gigy kwa ex wake😅
20/09/2024

Ujumbe wa gigy kwa ex wake😅

Ila watu wana macho jamn khaaa😂😂
20/09/2024

Ila watu wana macho jamn khaaa😂😂

Hivi si alisema hajawai fanya eeeh 🐒🐒🐒
20/09/2024

Hivi si alisema hajawai fanya eeeh 🐒🐒🐒

Wamemiss kutongozana tena 😂😂
19/09/2024

Wamemiss kutongozana tena 😂😂

Kwani kuna habari gani?
19/09/2024

Kwani kuna habari gani?

Kheee 😃
19/09/2024

Kheee 😃

Wanye D ngapi hapa walau waweza kuambua kitu..😂😂
18/09/2024

Wanye D ngapi hapa walau waweza kuambua kitu..😂😂

Wimbo gani wa zuchu unasikiliza zaid?
18/09/2024

Wimbo gani wa zuchu unasikiliza zaid?

Vanessa chombo bhna.. sijui mwenetu alifeli wapi😌
18/09/2024

Vanessa chombo bhna.. sijui mwenetu alifeli wapi😌

Mtaje
18/09/2024

Mtaje

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255618061363

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MTANI posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to MTANI:

Share