Love of Christ worldwide

Love of Christ worldwide love of christ embassy ni huduma tunayotoa neno la Mungu na maombi na maombezi Kwa kila mtu karibuni.

Kipaumbele chako kiwe ni Mungu tu kwenye maisha yako ndipo Kila jambo ufanyalo utafanikiwa.
31/03/2024

Kipaumbele chako kiwe ni Mungu tu kwenye maisha yako ndipo Kila jambo ufanyalo utafanikiwa.

Praise the Lord 🙏
25/03/2024

Praise the Lord 🙏

Mimi mtu wa Mungu Israel ninakupenda karibu office tusaidiane 0789792999
25/03/2024

Mimi mtu wa Mungu Israel ninakupenda karibu office tusaidiane 0789792999

08/03/2024
Bwana Yesu asifiwe tunakupenda kukaribisha katika ibada zetu za kila j'2 kuanzia saa 10:00 asubuhi na pia siku ya J'5 tu...
09/01/2024

Bwana Yesu asifiwe tunakupenda kukaribisha katika ibada zetu za kila j'2 kuanzia saa 10:00 asubuhi na pia siku ya J'5 tunakuwa na maombezi ya mtu mmoja moja na huu ndo muonekano wa logo yetu ya huduma karibu ujumuike pamoja nasi tunakupenda huu na mwaka wetu wakupokea maradufu karibu sana.

Don't plan to miss
07/01/2024

Don't plan to miss

Today
03/12/2023

Today

BWANA YESU ASIFIWE KWA NEEMA YA MUNGU BAADA YA MUDA MREFU KIDOGO SASA TUMEPATA ENEO LA RASMI NA TUTAANZA HUDUMA RASMI SI...
02/12/2023

BWANA YESU ASIFIWE KWA NEEMA YA MUNGU BAADA YA MUDA MREFU KIDOGO SASA TUMEPATA ENEO LA RASMI NA TUTAANZA HUDUMA RASMI SIKU YA J'2 HII 3/12/2023 ENEO NI TIPTOP MRINA HALL KARIBUNI SANA.

17/07/2023

Love of christ embassy church TUNAYO FURAHA KUWAAMBIA WATU WOTE NA PARTENER WOTE KWAMBA LILE JAMBO AMBALO TUMELISUBIRI KWA MUDA MREFU SASA LINAENDA KUKAMILIKA TUTATOA LOCATION NA MAHARI AMBAPO MUNGU AMETUBARIKIA KUFANYA KAZI YAKE UTUKUFU NA HESHIMA TUNAURUDISHA KWA YEYE YESU KRISTO.

Wote mlikuwa mtafuatilia kupitia page yetu ya loveofchrist embassy tumehama tilipokuwa tunafanya huduma na sasa tunamali...
26/01/2023

Wote mlikuwa mtafuatilia kupitia page yetu ya loveofchrist embassy tumehama tilipokuwa tunafanya huduma na sasa tunamalizia kuweka mazingira mazuri ya eneo soon tunawataarifu kupitia social network zetu Yesu awabariki. 0789792999

Address

Banana Ukonga
Dar Es Salaam
WINNERSSTREET

Telephone

+255658792999

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Love of Christ worldwide posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Love of Christ worldwide:

Share