27/04/2026
HERI YA CRES MASIAH.
6. Huyo ndie mwenye utajiri mwingi mkononi wake wa kushoto na Uzima mkono wake wa kulia.
7. Na ya kwamba, yeye ndie mwenye vyote mikononi mwake mezani pake.
8. Na ili watu wote wapate mali na pesa huo utajiri na afya njema na ukamilifu kwa kweli huo uzima.
🔷RAMANI .HAI TAKATIFU YA MUNGU MUUMBA
◼️Kitb; Unyayo 13: 06-08
NABII CRES MASIAH
HEKALU TEULE CRES MASIAH - MSATA.