Efatha Church Sayuni Pugu

Efatha Church Sayuni Pugu Kanisa letu lipo Pugu kajiungeni Dar es Salaam, nyuma ya shule ya msingi pugu. Tupigie/WhatsApp: 0767479834

Tunauleta ulimwengu kwa Yesu

Karibu uhudumiwe na Yesu Kristo aliyezawa, kufa na kufufuka kwaajili ya kuwakomboa wadanadamu wote duniani.

24/03/2026

Hakuna linaloshindikana kwa Yesu

16/03/2026
Usikose kesho ibadani, karibu uuone mkono wa Bwana. Mchungaji Zephania Chimbo  atakuhudumia.
14/03/2026

Usikose kesho ibadani, karibu uuone mkono wa Bwana. Mchungaji Zephania Chimbo atakuhudumia.

Wana wa Mungu mnakaribishwa katika ibada nzuri siku ya jumapili tarehe 8.03.2026 kanisa la Efatha Church Sayuni PuguMchu...
06/03/2026

Wana wa Mungu mnakaribishwa katika ibada nzuri siku ya jumapili tarehe 8.03.2026 kanisa la Efatha Church Sayuni Pugu

Mchungaji Zephania Chimbo atakuwepo kukuhudumia

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Efatha Church Sayuni Pugu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share