HIM Church Head Quarter

HIM Church Head Quarter HIM Church Dar es salaam is the Head Quarter of many other Church branches around Tanzania. We are Pr

Plan not to miss this SERVICE!
12/09/2024

Plan not to miss this SERVICE!

USIKOSE IBADA YA KINABII LEO Saa 10 kamili jioni.
29/08/2024

USIKOSE IBADA YA KINABII LEO
Saa 10 kamili jioni.

Alihamisi Hii Nimekuandalia iBADA Kubwa ya KINABII. wewe unayetamani kumsikia MUNGU akisema nini Juu ya maisha yako tafa...
21/08/2024

Alihamisi Hii Nimekuandalia iBADA Kubwa ya KINABII.
wewe unayetamani kumsikia MUNGU akisema nini Juu ya maisha yako tafadhali usikose Ibada hii.Nina Neno la kinabii kwa ajili yako shalom.

Word✍🏾
19/08/2024

Word✍🏾

Kuna gharama kubwa sana katika kuambatana na mtu yule ambaye Mungu amekukutanisha naye! Usipokuwa makini, utajikuta ukidhani darasa lile la kuambatana limekwisha na ukadhani umeshahitimu shule hiyo ukaondoka kabla ya kupokea vazi alilonalo mtu huyo! Wengi wameondoka kwenda kudhihirika kabla ya miezi 9 ya mimba kutimia!! Wakajikuta walichokizaa duniani ni mtoto njiti asiye na nguvu ya kukabiliana na changamoto zilizokuwa zimeandaliwa mbele yake.

Wako watu watakaotokea na kukwambia unapoteza muda, umeshaiva, unaweza kusimama mwenyewe,nk lakini kumbuka kati ya mkufunzi na mwanafunzi aliye na taarifa ya kujua k**a umeiva au la si wewe bali mkufunzi! Ndiye aliyemwambia Elisha muda wa kukipokea alichokitaabikia!

Usikate tamaa endelea kunyenyekea ingawa dunia haikuoni sasa lakini wajati unakuja itakuona kwa picha kubwa zaidi!! Jifunze kwa Joshua akiwa na Musa; Elisha akiwa na Eliya, Petro na Yesu wote wanasemekana WALIACHA VINGI kusajiliwa kwenye shule ya kuambatana!!

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when HIM Church Head Quarter posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share