24/10/2020
JIPATIE KITABU CHA KIELECTRONIC (E-BOOK) BURE,UTAKACHOSOMA KUPITIA SIMU YAKO AU COMPUTER YAKO
SOMO: HATI YA KIFO
Malengo ya somo hili yamegawanyika katika maeneo
mawili;
a. Kutoa elimu namna gani shetani huandaa hati za vifo
kwa watu (maisha yao, ndoa zao biashara zao n.k)
b. Namna gani mtu aliyeandikiwa hati ya kifo anaweza kufunguliwa iwe ni yeye, familia yake au hata
biashara au kazi yake.Hivyo usomapo kitabu hiki usisome k**a hadithi au k**a usomavyo vitabu vingine bali unaposoma uone k**a mtumishi wa Bwana Askofu Lazaro
Sesse anaongea na wewe.
Somo hili Askofu alilifundisha kanisani siku ya jumapili
ya tarehe 18/10/2020