ECG-The Jesus Nation Church, Bukoba Branch

ECG-The Jesus Nation Church, Bukoba Branch Kanisa la ECG-Taifa la Yesu, tawi la Bukoba linapatikana Bukoba Mjini, Kata Bakoba, Mtaa Nyakanyasi chini ya Nabii Mkuu, Dr. Shepherd Bushiri.

Simu: 0717866694/0742027719

Karibu sana kwenye ibada hii nzuri ya Kumwabudu Mungu EWE mkazi wa Bukoba, Kagera.
18/07/2026

Karibu sana kwenye ibada hii nzuri ya Kumwabudu Mungu EWE mkazi wa Bukoba, Kagera.

07/06/2026
This Sunday at ECG TJNC Tanzania Bukoba Branch, we warmly welcome you all to a powerful and life-changing service under ...
15/05/2026

This Sunday at ECG TJNC Tanzania Bukoba Branch, we warmly welcome you all to a powerful and life-changing service under the theme:

“Oh Lord, Make My Life Count”

Come and experience the presence of God as the Man of God ministers the Word, prays for you, and declares blessings upon your life in the mighty name of Jesus Christ.

Ephesians 2:10
“For we are His workmanship, created in Christ Jesus unto good works, which God hath before ordained that we should walk in them.”

Do not miss this wonderful opportunity to encounter God of Major 1 and discover His purpose for your life.

You are all welcome!

Kila Baraka ina Mlango wa Kupitia, yako malango yaliyounganishwa na uchumi wako yakifunga na uchumi wako unafungwa, yaki...
23/04/2026

Kila Baraka ina Mlango wa Kupitia, yako malango yaliyounganishwa na uchumi wako yakifunga na uchumi wako unafungwa, yakifunguliwa na uchumi wako unafunguliwa.

Wikiendi hii ungana na Mtumishi wa Mungu Mwl Eliya Tungaraza hapa ECG-The Jesus Nation Church, Bukoba Branch kwa semina ya Siku 3

Utafundishwa juu ya MALANGO ya UCHUMI, na kufanya maombi ya kukomboa uchumi wako na kukuachilia katika neema ya Mungu itupayo uchumi imara.

Mtumishi yupo tayari kukuhudumia
Waalike ndugu jamaa na Marafiki zako wote walioko Mkoa wa Kagera wape namba za simu zilizoko katika kipeperushi.

Ni Kuanzia Ijumaa hii. Karibuni sana wapendwa.

Jumapili hii kanisa la ECG TJNC TANZANIA, tawi la Bukoba linakukaribisha kwa ibada nzuri sana ya Ukombozi wa Ardhi.Mwali...
18/04/2026

Jumapili hii kanisa la ECG TJNC TANZANIA, tawi la Bukoba linakukaribisha kwa ibada nzuri sana ya Ukombozi wa Ardhi.

Mwalike ndugu, rafiki au jirani yako kwaajili ya ibada hii Takatifu.

Mwanzo 2:7
BWANA Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai.

Ardhi si kitu cha kawaida ndiyo chanzo cha mwili wa mwanadamu, na mahali ambapo Mungu aliweka pumzi ya uhai. Hivyo, ndani ya ardhi kuna siri ya uumbaji na urejesho.

Je, kuna maeneo ya maisha yako yameharibika, yamekauka au kufa?

Habari njema ni hii: kuna Neno lililo hai lenye uwezo wa kuleta uhai tena, kurejesha kilichopotea, na kufufua matumaini kupitia kile ambacho Mungu ameweka tangu mwanzo ardhi.

Mungu anaweza kugeuza mavumbi kuwa uhai. Vivyo hivyo, anaweza kubadilisha hali yako leo.

USIKOSE MPENDWA.

Karibuni sana kwenye IBADA hii nzuri sana kwako mpendwa.
04/04/2026

Karibuni sana kwenye IBADA hii nzuri sana kwako mpendwa.

Karibu sana kwenye ibada hii ya UPAKO.Mtumishi wa Mungu yupo tayari kukuhudumia katika jina la Yesu Kristo.Wasiliana nas...
07/03/2026

Karibu sana kwenye ibada hii ya UPAKO.
Mtumishi wa Mungu yupo tayari kukuhudumia katika jina la Yesu Kristo.

Wasiliana nasi kupitia namba zilizopo kwenye Kipeperushi kufika kanisani na maelekezo mengine zaidi.

USIKOSE KABISA IBADA HII EWE MPENDWA.

Jumapili hii hapa ECG TJNC TANZANIA, TAWI LA BUKOBA tunawakaribisha katika ibada nzuri sana.Roho Fuatilizi  ni Nini?Roho...
21/02/2026

Jumapili hii hapa ECG TJNC TANZANIA, TAWI LA BUKOBA tunawakaribisha katika ibada nzuri sana.

Roho Fuatilizi ni Nini?

Roho Fuatilizi ni Mapepo yanayotumwa kuwaandama watu au familia fulani kwa kuwaletea Matatizo yanayofanana k**a vile, Magonjwa ya aina moja, Kukosa kabisa fursa za Maisha, Kuvunjika kwa mahusiano au ndoa, kutapeliwa au kudhulumiwa.

Sasa Utajuaje kuwa unafuatiliwa na roho hizi???.

Usikose Kufika Jumapili hii Mapema, Mtumishi wa Mungu, Mwana wa Nabii Mkuu, Kwa Neema ya Mungu na kwa Mafuta Yaliyoko juu ya Baba yetu Major 1 atakufundisha na Kukuombea.

Hakika hizo ndoto Mbaya na za kutisha, Hiyo Mikosi , Hiyo Hofu na mashaka ya Maisha lazima Upokee Roho ya Nguvu na Ushindi kwa jina la Yesu kristo.

Dear Dad,ECG TJNC TANZANIA, BUKOBA BRANCH LOVES YOU DEEPLY.WISHING YOU A MARVELLOUS BIRTHDAY CELEBRATIONS OUR MAJOR PROP...
20/02/2026

Dear Dad,

ECG TJNC TANZANIA, BUKOBA BRANCH LOVES YOU DEEPLY.

WISHING YOU A MARVELLOUS BIRTHDAY CELEBRATIONS OUR MAJOR PROPHET

YOURS FAITHFULLY,

SONS & DAUGHTERS.

Address

Nyakanyasi Center
Bukoba

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ECG-The Jesus Nation Church, Bukoba Branch posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to ECG-The Jesus Nation Church, Bukoba Branch:

Shortcuts

Share

Category