Biharamulo Adventist youth choir

Biharamulo Adventist youth choir Kwaya ya vijana Biharamulo Ay choir tunaomtumikia Mungu

Tunaendelea kubarikiwa na MAKAMBI mtaa wa Muleba- Kagera   Tupo na askofu wa jimbo la kati mwa Tanzania pr. Godfrey Kani...
26/07/2023

Tunaendelea kubarikiwa na MAKAMBI mtaa wa Muleba- Kagera
Tupo na askofu wa jimbo la kati mwa Tanzania pr. Godfrey Kaniki
KARIBUNI SANA

Kwa neema ya Mungu tumeanza makambi sabato ya leo mtaa wa Biharamulo tupo na mnenaji mkuu pr. Paul semba Karibuni sana p...
08/07/2023

Kwa neema ya Mungu tumeanza makambi sabato ya leo mtaa wa Biharamulo tupo na mnenaji mkuu pr. Paul semba
Karibuni sana pia tunapatikana kupitia YouTube channel OLIONE TV

Maombi yenu wapendwa    Tupo studio kurekodi audio vol.3
22/06/2023

Maombi yenu wapendwa
Tupo studio kurekodi audio vol.3

Kihonda net event
18/05/2023

Kihonda net event

Bwana ndiye nuru ya wokovu wetu
11/05/2023

Bwana ndiye nuru ya wokovu wetu

Tunawatakia maandalio mema ya sabato
05/05/2023

Tunawatakia maandalio mema ya sabato

Nenda
03/05/2023

Nenda

03/05/2023

Barikiwa na albam mpya

Bwana ndiye mchungaji
02/05/2023

Bwana ndiye mchungaji

Mungu ni mwema uzinduzi wa albam yetu ya pili ulimalizika salama jana  tarehe 30/04/2024  nyimbo za albam mpya zinapatik...
01/05/2023

Mungu ni mwema uzinduzi wa albam yetu ya pili ulimalizika salama jana tarehe 30/04/2024 nyimbo za albam mpya zinapatikana youtube

🆕 ALBAM
🆕 SONG
GO😍😍😍

Address

Biharamulo Kagera Tz
Biharamulo

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Biharamulo Adventist youth choir posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share