EAGT Udindivu Church

EAGT Udindivu Church 💒 EAGT Udindivu Church, Bagamoyo
🌟 Roho | Upendo | Huduma
KISIMA CHA UPONYAJI NA UZIMA🎆

23/01/2026

Mkesha wa CGM | Karibu Tumuabudu Mungu Pamoja
📍 Mahali: Kanisa la EAGT Udindivu Church
⏰ Muda: Kuanzia saa 21:00 Usiku
🎯 Mwaliko: Karibuni wote, mlete na rafiki yako!

Neno la Mungu ni taa ya miguu yetu na mwanga wa njia yetu. Asante kwa neno la uzima leo.📸//: Michael Sadrus Mwagange ✂️🖇...
12/01/2026

Neno la Mungu ni taa ya miguu yetu na mwanga wa njia yetu. Asante kwa neno la uzima leo.
📸//: Michael Sadrus Mwagange
✂️🖇️//:- Tin Maövana

02/01/2026

Kila noti ni sadaka mbele za Bwana EAGT Udindivu Church
#2026
📸 & 🎼⚔️🎤/:- Reuben Mlaga & Tin Maövana

Maisha, Neno, na sifa! ✨Jumapili  EAGT Udindivu Church ⛪Cc/:: Tin Maövana
29/12/2025

Maisha, Neno, na sifa! ✨
Jumapili EAGT Udindivu Church ⛪
Cc/:: Tin Maövana

A tribute of gratitude and honor to our faithful servants 🙏Former leaders of the WWI, CGM, and WHI ministries who served...
29/12/2025

A tribute of gratitude and honor to our faithful servants 🙏
Former leaders of the WWI, CGM, and WHI ministries who served the church for many years ago
and have now completed their service. Thank you for your commitment and dedication🤝👏
EAGT Udindivu Church
Cc/:: Tin Maövana

Semina kwa wanandoa iliyojawa na mafundisho, maombi na mwanga wa neno la Mungu ✨Iliyofanyika tarehe 27/12/2025 katika  E...
29/12/2025

Semina kwa wanandoa iliyojawa na mafundisho, maombi na mwanga wa neno la Mungu ✨
Iliyofanyika tarehe 27/12/2025 katika EAGT Udindivu Church ikiongozwa na Bp. Bethuel Ngeta
Ndoa ni agano—tuilinde kwa hekima na upendo. 💍🙏

Cc//:: Tin Maövana

“Leo tunaadhimisha upendo wa Mungu uliodhihirishwa kwa kuzaliwa kwa Yesu Kristo ✝️✨”    📸& ✂️/: Tin Maövana
25/12/2025

“Leo tunaadhimisha upendo wa Mungu uliodhihirishwa kwa kuzaliwa kwa Yesu Kristo ✝️✨”

📸& ✂️/: Tin Maövana

Sifa na utukufu vyote kwa Mungu wetu.📸⚔️/:: Tin Maövana
24/12/2025

Sifa na utukufu vyote kwa Mungu wetu.
📸⚔️/:: Tin Maövana

“We hear only what we’re meant to hear.”😊😊Bishop Bethuel Ngeta
15/12/2025

“We hear only what we’re meant to hear.”
😊😊
Bishop Bethuel Ngeta

"Yuko Mungu Mbinguni Asikiaye Maombi Yetu..."
15/12/2025

"Yuko Mungu Mbinguni Asikiaye Maombi Yetu..."

Address

Udindivu
Bagamoyo

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when EAGT Udindivu Church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category