02/05/2023
MWANZO 1;2π
Roho wa Mungu akatulia juu ya USO wa maji ,,,
Kwa hiyo Roho alikuwa ametulia Kwa mfano huo na akili zako zote za darasani na za kuzaliwa πππ βββ
Huoni unamfanya ROHO kuwa na umbile la Kibinadamu , yaani Roho anayo makalio , Miguu , mikono , kichwa , n. K
Ndo maaΓ±a nakuuliza ni Roho sawa, iweje awe Tena juu ya physically water ββπ
Au yalikuwa maji ya namna gani AMBAYO ROHO alikuwa juu yakeβππππππ
Ikiwa Yohana wa Yesu aliona kahaba Ameketi juu ya maji katika ufunuo , ,17:1
Na katika Ufunuo wa Yohana 17:15 πππππ
Mwisho akaambiwa hivi "π Yale , hapo aketipo yule kahaba, ni na na na .β
Sasa ikiwa maji maji yalionekana Kwa tafsiri nyingine,,,,, kwamba sio maji HALISI , Bali hayo ni πjamaa , makutano na mataifa na lugha ....
Je wewe huoni na kahaba ni roho pia π€ββ
Haya hii mwanzo 1:2 haikufunzi kitu chchote β
Roho kutulia juu ya Maji HUJUI ni Kwa habari ya maji Gani β au wadhani Kwa kuwa ni mwanzo ndipo unaona ni Uhalisiha,,,,sasa Uhalisiha β
Staki uniamini Bali nahitaji uamini ROHO wako MTAKATIFU aliwahi kukaa juu ya USO maji ..........na Mungu alikuwa Ameketi wapi ββπ
Kwa makalio au kusimama Kwa Miguu.
ASOMAYE NA AFAHAMU.