Burka Sda Church Choir

Burka Sda Church Choir Official page of BURKA CHURCH CHOIR�� serving GOD through music Psalms150:6��

20/07/2026

Kwenye Utumishi mkoani MTWARA😊🙏🏾🎶🎤

08/07/2026
26/06/2026

“Naye atafuta kila chozi katika macho yao; wala mauti haitakuwapo tena; wala huzuni, wala kilio, wala maumivu hayatakuwapo tena; kwa kuwa mambo ya kwanza yamepita.” — Ufunuo 21:4🕊️🙏🏾

10/06/2026

Tunaendelea na Mkutano wa Injili 🙏🏾🔥
Neema inaendelea kumwagika, sifa zinaendelea kupaa, na maisha yanaendelea kubadilika.

Burka Choir tunaendelea kusimama katika huduma ya sifa na kuabudu—usikose sehemu yako ya baraka!

Njoo uungane nasi,

06/06/2026

Mkutano wa Injili umewadia 🙏🏾🔥
Njoo tukutane pamoja katika uwepo wa Mungu, tukimsifu na kumwabudu kwa moyo mmoja.

Usikose baraka zako!

“Kila chenye pumzi na kimsifu Bwana.” – Zaburi 150:6

04/06/2026

KILA ASUBUHI JE WAMWITA BWANA?
AWE KIONGOZI. .

03/06/2026

KARIBUNI SANAA
Ni mkutano mkubwa sanaa
Na utabarikiwa mno kwa mafundisho na nyimbo mbali mbali.
Ni loksale
Ni tr7/21 mwezi huu
🎧🎹🎼🎤🎬

02/06/2026

Kuna kitu kikubwa kinakuja 👀🔥

Mkutano Mkubwa wa Injili unakaribia…
Je, uko tayari kwa kile Mungu anataka kufanya kwenye maisha yako?

📅 07 – 21
📍 Monduli, Arusha

Usikubali kubaki nyuma 🙌

Address

P. O BOX 474 ARUSHA
Arusha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Burka Sda Church Choir posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share