EAGT Bethel Kimandolu Arusha

EAGT Bethel Kimandolu Arusha Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from EAGT Bethel Kimandolu Arusha, Religious organisation, KIMANDOLU ARUSHA, Arusha.

A Pentecostal church located at KIMANDOLU, Nambere Road, about 250 meters from the Arushaβ€” Moshi Highway

COME WORSHIP WITH US EVERY
WEDNESDAY 1630β€”1830 HRS
FRIDAY 1630β€”1830 HRS
SUNDAY 0800β€”1300 HRS (EAT)

Contact us: +255 753 306 728

Luka 10:2  Akawaambia, Mavuno ni mengi, lakini watenda kazi ni wachache; basi mwombeni Bwana wa mavuno apeleke watenda k...
26/01/2026

Luka 10:2 Akawaambia, Mavuno ni mengi, lakini watenda kazi ni wachache; basi mwombeni Bwana wa mavuno apeleke watenda kazi katika mavuno yake.

-------------------------------------
JUMAPILI 25.01.2026
EAGT BETHEL KIMANDOLU ARUSHA

25/01/2026

SIFA KWA BWANA πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

BETHEL PRAISE AND WORSHIP TEAM
-------------------------------------
JUMAPILI 25.01.2026
EAGT BETHEL KIMANDOLU ARUSHA

NI WAKATI SASA UMEFIKA KWA MTUMISHI WA MUNGU MCH. PAUL NDURUMA  KWENDA SHAMBANI RASMI K**A MCHUNGAJI.TUNAKUTAKIA KILA LA...
25/01/2026

NI WAKATI SASA UMEFIKA KWA MTUMISHI WA MUNGU MCH. PAUL NDURUMA KWENDA SHAMBANI RASMI K**A MCHUNGAJI.

TUNAKUTAKIA KILA LA HERI KATIKA KUIENEZA INJILI HUKO EAGT GOSHENI, INTEL ARUSHA

-------------------------------------
JUMAPILI 25.01.2026
EAGT BETHEL KIMANDOLU ARUSHA

MSHUKURUNI BWANA KWA KILA JAMBO.-------------------------------------JUMAPILI 25.01.2026EAGT BETHEL KIMANDOLU ARUSHA
25/01/2026

MSHUKURUNI BWANA KWA KILA JAMBO.

-------------------------------------
JUMAPILI 25.01.2026
EAGT BETHEL KIMANDOLU ARUSHA

TWAKUPA SIFA NA UTUKUFUBETHEL PRAISE AND WORSHIP TEAM-------------------------------------JUMAPILI 25.01.2026EAGT BETHEL...
25/01/2026

TWAKUPA SIFA NA UTUKUFU

BETHEL PRAISE AND WORSHIP TEAM
-------------------------------------
JUMAPILI 25.01.2026
EAGT BETHEL KIMANDOLU ARUSHA

ZABURI 66:5  "Njoni yatazameni matendo ya Mungu; Hutisha kwa mambo awatendayo wanadamu"---------------------------------...
25/01/2026

ZABURI 66:5
"Njoni yatazameni matendo ya Mungu; Hutisha kwa mambo awatendayo wanadamu"

-------------------------------------
JUMAPILI 25.01.2026
EAGT BETHEL KIMANDOLU ARUSHA

ZABURI 27:1  Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu, Nimwogope nani? Bwana ni ngome ya uzima wangu, Nimhofu nani?JUMATANO 2...
23/01/2026

ZABURI 27:1

Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu, Nimwogope nani? Bwana ni ngome ya uzima wangu, Nimhofu nani?

JUMATANO 21.01.2026.
EAGT BETHEL KIMANDOLU ARUSHA

20/01/2026

KATAA KUONEWA MWAKA HUU

β€” REV. TIMOTHY MBISE
---------------------------------
JUMAPILI 18.01.2026
EAGT BETHEL KIMANDOLU ARUSHA

19/01/2026

HAKUNA KIFUNGO JUU YAKO TENA

🌷 Hakuna Maonezi Juu Yako Tena

BWANA ANAKOMESHA KILA AINA YA KIFUNGO NA MAONEZI KWENYE MAISHA YAKO LEO.

β€” REV. TIMOTHY MBISE

JUMAPILI 18.01.2026
EAGT BETHEL KIMANDOLU ARUSHA

19/01/2026

WAKATI WA JARIBU NI WAKATI WA KUKAA KARIBU ZAIDI NA MUNGU.
🌷 Jaribu lisikutoe Kwa Mungu bali likufanye umtafute Mungu Kwa bidii.

β€” REV. TIMOTHY MBISE
JUMAPILI 18.01.2026
EAGT BETHEL KIMANDOLU ARUSHA

18/01/2026

MILELE NA MILELE SIFA NA ZIVUME.

BETHEL PRAISE TEAM
---------------------------------
JUMAPILI 18.01.2026
EAGT BETHEL KIMANDOLU ARUSHA

YOSHUA 3:9  Basi Yoshua akawaambia wana wa Israeli, Njoni huku, mkayasikie maneno ya Bwana, Mungu wenu.-----------------...
18/01/2026

YOSHUA 3:9
Basi Yoshua akawaambia wana wa Israeli, Njoni huku, mkayasikie maneno ya Bwana, Mungu wenu.

---------------------------------
JUMAPILI 18.01.2026
EAGT BETHEL KIMANDOLU ARUSHA

Address

KIMANDOLU ARUSHA
Arusha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when EAGT Bethel Kimandolu Arusha posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share