FPCT Arusha mjini Kimahamaofficial

FPCT Arusha mjini Kimahamaofficial Kuwafanya watu kuwa wanafunzi wa Yesu na kukua katika nguvu za Roho mtakatifu.

17/08/2026

UKILAZA SIO PRODUCT YA ROHO MTAKATIFU

Jumapili ya tarehe 9-08-2026
11/08/2026

Jumapili ya tarehe 9-08-2026

Hii ni jumapili ambayo tumekumbushwa juu ya kuishi maisha ya utakatifu, "Basi mtakuwa watakatifu kwakuwa mimi ni mtakati...
03/08/2026

Hii ni jumapili ambayo tumekumbushwa juu ya kuishi maisha ya utakatifu, "Basi mtakuwa watakatifu kwakuwa mimi ni mtakatifu" LAW 11:45

03/08/2026

..Hivi Kuna Mtakatifu anakesha bar...?

20/07/2026

Luka14:28-
Mtu yeyote kati yenu anayetaka kujenga mnara, je, hataketi kwanza kupiga hesabu ya gharama ili aone k**a ana cho chote cha kuimaliza?

Usianzishe project bila kupiga gharama.
Usianze biashara, ujenzi, ndoa, au hata maisha mapya bila kujua gharama.
Kujenga msingi ni rahisi, lakini kuimaliza ndiyo inahitaji hekima.

Panga vizuri, hesabu gharama, omba Mungu, kisha songa mbele kwa ujasiri!

MAFUNDISHO HAYA SASA YAKO YOUTUBE
KWA LINK HII... https://youtu.be/sJ_541L1_NM?si=PLNCSpasWKSA2MVt

"

10/07/2026

Karibu Jumapili ya tarehe 12 Julai 2026 katika sherehe na changizo la kuipamba nyumba ya Bwana.

Tukiwa tumetembelewa na Tanzania Missions Network (TMN), jumapili hii tulikumbushwa kuwa na nia ileile k**a iliyoko ndan...
12/05/2026

Tukiwa tumetembelewa na Tanzania Missions Network (TMN), jumapili hii tulikumbushwa kuwa na nia ileile k**a iliyoko ndani ya Kristo Yesu kuhusiana na habari ya kuwapelekea wengine habari njema (kazi ya umisheni).

Karibu sana siku ya kesho uabudu pamoja nasi
09/05/2026

Karibu sana siku ya kesho uabudu pamoja nasi

Karibu sana kesho siku ya ijumaa kwenye ibada ya maombi kuanzia saa kumi na moja kamili jioni mpaka saa kumi na mbili
07/05/2026

Karibu sana kesho siku ya ijumaa kwenye ibada ya maombi kuanzia saa kumi na moja kamili jioni mpaka saa kumi na mbili

Karibu sana siku ya jumatano saa kumi na moja kamili kwaajili ya kujifunza neno la BWANA, na Mungu akubariki sana.      ...
05/05/2026

Karibu sana siku ya jumatano saa kumi na moja kamili kwaajili ya kujifunza neno la BWANA, na Mungu akubariki sana.

Address

Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when FPCT Arusha mjini Kimahamaofficial posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share