CASFETA ARUSHA

CASFETA ARUSHA Karibu CASFETA Mkoa wa Arusha. Hapa utapata taarifa na mafundisho mbalimbali ya Neno la Mungu. Usipotee bure, njoo tushauriane, tujengane na kutiana moyo.

Kipindi cha ujana ni kigumu sana bila ulinzi wa Mungu, CASFETA ni jumuiya ya wanafunzi waliookoka Mashuleni na Vyuoni, hivyo kusaidia na kukuza vijana katika misingi ya Kimungu. Je, wewe ni mwanafunzi wa chuo au shule ya sekondari mkoa wa Arusha?. K**a unahitaji kuokoka pia, una nafasi leo. Karibu sana.

Address

PO BOX 1330
Arusha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when CASFETA ARUSHA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share