🔹 Erick Mtu wa MUNGU Ministries
🔹 Ukombozi kwa Mataifa kwa NGUVU ya Neno
🔥 Mhubiri wa Injili | Mtumishi wa Maono | Mwalimu wa Neno
📖 Nimeitwa kuangaza mataifa kwa Nguvu ya Neno la MUNGU
📩 Wasiliana kwa maombezi, ushauri na huduma 0687663384 Whatsp kwa nini tunasema utimilifu wa nyakati yaani sisi tunatimiza Yale Yesu Kristo aliyo sema,kuwa tuhubiri injili kwa watu wote tuponye wagonjwa tufufue wa
fu,, zaidi pia watu wapate kujazwa nguvu za Roho mtakatifu.... huduma hii aifungamani na dini Yoyote aibagui mtu wakumsaidia, tuna Amini, huduma zote tano, Unabii, Uchungaji, Uinjilist,Utume,Ualimu,,,, tuna amini zote za weza Fanya kazi ndani ya mtu kwakusudi moja tu,,, kuwakamilisha watakatifu,, na huduma itendeke na mwili wa Kristo ujengwe,,, tuna amini Matendo ya miujiza na Ufunuo.... pia tuna tumia karama za maarifa kuwasaidia watu ambao wanatatizo lakupoteza furaha amani na mwisho hata kuweza kusababisha mtu Ufahamu wake kushinda kufanya kazi... Mungu ameweka Hiyo Karama ndani yake Mtumishi wake Erick,,,,, pia waweza wasiliana kwa Namba hii tu 0766507076