RADIO Safina ministry

RADIO Safina ministry MAFUNDISHO YA NENO LA KRISTO NDANI YA UKUMBI WA MAOMBI NA MAOMBEZI WA RADIO SAFINA ULIOPO MBAUDA JIJINI ARUSHA

13/08/2026

MAFUNDISHO YA NENO LA KRISTO NDANI YA UKUMBI WA MAOMBI NA MAOMBEZI WA RADIO SAFINA ULIOPO MBAUDA JIJIN ARUSHA

SIKU TATU ZA UKOMBOZI WA UZAO WA MWANAMKE NA MAJINA YAO.๐Ÿ“Œ NI ALHAMIS HII YA TAR- 13, JUMAMOSI 15 NA JUMAPILI 16 AUGUST 2...
12/08/2026

SIKU TATU ZA UKOMBOZI WA UZAO WA MWANAMKE NA MAJINA YAO.

๐Ÿ“Œ NI ALHAMIS HII YA TAR- 13, JUMAMOSI 15 NA JUMAPILI 16 AUGUST 2026.

โœ๐ŸฝJe! Unajua Vita ya Majina uliowapa watoto wako? 1 Nyakati 4:9-10-11.

โœ๐Ÿฝ Je! Unajua Mafaniko na Uhai wa watoto wako Umefungwa ndani yako? Kumbuka wewe ni mlezi na msimamizi wa usalama watoto wako.

โœ๐Ÿฝ Je! Unajua mtoto wako ni Sanduku la Agano? Njoo kwenye Maombi haya Maalum ya Ukombozi wa Sanduku la Agano lililoibiwa na Wafilisti. 1 Samweli 6:1-5.

โœ๐Ÿฝ Tutakuwa na Maombi Maalum ya ukombozi wa mifupa ya ukoo na uhai wako uliofungwa ndani ya mama.

โœ Alhamis hii njoo na Majina ya Uzao wako na tutayaweka kwenye Madhabahu kwa siku tatu kwa Ajili ya Matengenezo k**a Yona alivyo tengenezwa katika tumbo la Samaki na kuzaliwa kwa wateule, kumbuka Madhabahu huzaa wateule.

โœ Jumamos Tutamia Mzao wa Mzabibu (Damu ya Yesu) ili Kunyunyizia Watoto wetu na pia Tutatumia Mafuta ili kufungua viuno na kuvunja Maagano ya Ukoo.

๐Ÿ’ฐKumbuka Tutakuwa na Sadaka Maalum ya Kukabidhi Uzao wa Mwanamke kwenye Madhabahu na Juu ya Bahasha yako Andika - Matendo 10:4.

๐Ÿ•ฐ๏ธMuda: 2:00 Asubuhi hadi Mchana..

๐Ÿ’’ Mahali. Katika Ukumbi wa Maombi wa Huduma ya Radio Safina Mbauda Arusha.

Atahudumu Mtumishi wa MUNGU, NATALIA PASCHAL Pamoja na Watumishi Wengine wa Huduma ya Radio Safina.

๐Ÿ™Œ๐Ÿพ USIPANGE KUKOSA ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ

11/08/2026

MAFUNDISHO YA NENO LA KRISTO NDANI YA UKUMBI WA MAOMBI NA MAOMBEZI WA RADIO SAFINA ULIOPO MBAUDA JIJIN ARUSHA

TUESDAY SERVICE ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑSOMO: NI KWANINI MUNGU HAKUWAFUTA ISRAEL WALIPOMKATAA YESU?๐Ÿ—“๏ธ Siku. Jumanne Hii 11 August 2026.๐Ÿ•ฐ๏ธ Mu...
10/08/2026

TUESDAY SERVICE ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ
SOMO: NI KWANINI MUNGU HAKUWAFUTA ISRAEL WALIPOMKATAA YESU?

๐Ÿ—“๏ธ Siku. Jumanne Hii 11 August 2026.

๐Ÿ•ฐ๏ธ Muda: 2:00 Asubuhi.

๐Ÿ’’ Mahali. Katika Ukumbi wa Maombi wa Huduma ya Radio Safina Mbauda Arusha.

Atahudumu Mtumishi wa MUNGU, HELLEN LEMA Akishirikiana na Watumishi Wengine wa Huduma ya Radio Safina.

๐Ÿ™Œ๐Ÿพ USIPANGE KUKOSA ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ

08/08/2026
08/08/2026

MAFUNDISHO YA NENO LA KRISTO NDANI YA UKUMBI WA MAOMBI NA MAOMBEZI WA RADIO SAFINA ULIOPO MBAUDA JIJIN ARUSHA

07/08/2026

KESHO SAA 2 KAMILI ASUBUHI USIKOSEEE ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

MAOMBI YA KUMKOMBOA MZALIWA WA KWANZA NA WA MWISHO K**A LANGO LA KIZAZI KIZIMA.๐Ÿ“Œ MZALIWA WA KWANZA NI MLANGO KWA KIZAZI ...
07/08/2026

MAOMBI YA KUMKOMBOA MZALIWA WA KWANZA NA WA MWISHO K**A LANGO LA KIZAZI KIZIMA.

๐Ÿ“Œ MZALIWA WA KWANZA NI MLANGO KWA KIZAZI NA HUPITISHA AINA YA MAISHA KWA WENGINE WA KIZAZI KIZIMA.

โœ๐Ÿฝ Mungu mwenye Agano na mzaliwa wa kwanza ana Nguvu ya kumiliki na kukitawala Kizazi kizima.

โœ๐Ÿฝ Kuna Watu wanapita kwenye changamoto nyingi kwenye Uchumi, Ndoa, Kazi, Biashara, Kilimo na Ufugaji kwa sababu ya Mzaliwa wa kwanza wa kizazi chao ameondolewa kwenye nafasi yake Kiroho na Kimwili.

โœ๐Ÿฝ Tutakuwa na Mfungo wa siku Tatu na Tutaoshwa kwa Damu ya Yesu na tutatiwa Mafuta mara 14 kwa ajili ya Kuvunja Agano na Mateso lililosimamishwa kwa vizazi 14.

๐Ÿ—“๏ธ Siku:Jumamosi 08/08/2026.

๐Ÿ•ฐ๏ธMuda: 2:00 Asubuhi.

๐Ÿ’’ Mahali. Katika Ukumbi wa Maombi wa Huduma ya Radio Safina Arusha ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ.

Atahudumu Mtumishi wa MUNGU, GOODLUCK DEOGRATIUS Akishirikiana na Watumishi Wengine wa Huduma ya Radio Safina.

๐Ÿ™Œ๐Ÿพ USIPANGE KUKOSA ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ

06/08/2026

๐Ÿ“ฃ๐Ÿ“ฃ ATTENTION โ€ผ๏ธ ATTENTION โ€ผ๏ธ๐Ÿ“ฃ๐Ÿ“ฃ

TAZAMA MUNGU ALIVYOFANIKISHA MAISHA NA ELIMU YAKE.

HUYU YESU TUNAYEMTUMIKIA ANATENDA MAMBO MAKUU POKEA NA WEWE KWA JINA LA YESU

Safina Radio Safina radio FM

06/08/2026

Big shout out to my newest top fans! Flora Samora, Chili Fanuel Chili, Senior Jovi, Veronica Amoss, Rose Kileo, Joyce Elphas, Neema Joseph, Judithb Makachila, Aisleen Daud, Stella Mosess, Josephine Amani Karisia, Mzawa Ketuyo, Rachel Molel, Nathalian Paschal, Glory Limo, Kajiru Martha, Wakili Ngunda, Nanyokie Laizer, Kings Massawe, Beatris Shirima, Petro Samwel, James Rashid, Mesia Mollel, Rabieth Mgonja, Selestina Mollel, Maeda Imma, Gurisha Shedafa, Dora Molel, Mary Joseph, Eliudy Mevoroo, Immanuel Imaa, Hilda Yunge, Shedrack Lazaro Sarakikya, Glory Regnald Msalale, Heavenlight Lema, Maria Masonu, Reymoo Mapunda, Nehemiah Amon, Wily Fredy, Deborah Ngoya, Jossee Laizer, Lonyori Siray, Elizabeth Lazaro, Neema Kiwelu, Joachimu Shija, Salome Martini, Upendo Stephano, Happy Massao, Aimbora Pallangyo, Leticia Paul

Address

Mbauda
Arusha
23108

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when RADIO Safina ministry posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share