MTBC Church Arusha, Tengeru stand

MTBC Church Arusha, Tengeru stand Connecting Lives to Christ

Ijumaa hii tarehe 30 September kuanzia saa 4 usiku - 12 asubuhi katika Kanisa la MTBC ARUSHA, Tengeru!
28/09/2022

Ijumaa hii tarehe 30 September kuanzia saa 4 usiku - 12 asubuhi katika Kanisa la MTBC ARUSHA, Tengeru!

Karibu sana katika usiku huu! Walete wagonjwa na wenye kila aina ya tatizo wakutane na nguvu na uweza wa Bwana wa mabwan...
27/09/2022

Karibu sana katika usiku huu!

Walete wagonjwa na wenye kila aina ya tatizo wakutane na nguvu na uweza wa Bwana wa mabwana, Yesu Kristo!!

Yohana 15: 16-17 Si ninyi mlionichagua mimi, bali ni mimi niliyewachagua ninyi; nami nikawaweka mwende mkazae matunda; n...
06/09/2022

Yohana 15: 16-17

Si ninyi mlionichagua mimi, bali ni mimi niliyewachagua ninyi; nami nikawaweka mwende mkazae matunda; na matunda yenu yapate kukaa; ili kwamba lolote mmwombalo Baba kwa jina langu awapeni. Haya nawaamuru ninyi, mpate kupendana.

Yoshua 17:14Kisha wana wa Yusufu wakanena na Yoshua, wakasema, Kwa nini umenipa mimi kura moja tu na fungu moja kuwa ni ...
17/07/2022

Yoshua 17:14

Kisha wana wa Yusufu wakanena na Yoshua, wakasema, Kwa nini umenipa mimi kura moja tu na fungu moja kuwa ni urithi wangu, kwa kuwa mimi ni taifa kubwa la watu, kwa sababu BWANA amenibarikia hata hivi sasa?

Tunaijua thamani yetu katika Kristo!

Ezekiel 47:1-12 [Read] Ikiwa unahisi kwamba umekuwa mkavu, shangilia kwa sababu uhamsho unakuja! Hauhitaji kuendelea kuw...
04/07/2022

Ezekiel 47:1-12
[Read]

Ikiwa unahisi kwamba umekuwa mkavu, shangilia kwa sababu uhamsho unakuja! Hauhitaji kuendelea kuwa mkavu tena!

Kumbuka, sponge kavu linaweza kunyonya maji mengi zaidi!

Do you want to win your city for God? Then get the rivers flowing!




Get the rivers flowing! (Wacha mito ya maji itiririke ndani yako!) Ezekieli 47:1  Baadaye akanileta tena mpaka lango la ...
03/07/2022

Get the rivers flowing!

(Wacha mito ya maji itiririke ndani yako!)

Ezekieli 47:1

Baadaye akanileta tena mpaka lango la nyumba; na tazama, maji yalitoka chini ya kizingiti cha nyumba, kwa njia ya mashariki, maana upande wa mbele wa nyumba ulielekea upande wa mashariki; nayo maji yakashuka toka chini ya upande wa kuume wa nyumba, upande wa kusini wa madhabahu.

Kisha tena Yesu akawaambia, yoyote aniaminiye mimi k**a vile maandiko yalivyonena, mito ya maji yaliyo hai itatoka ndani yake!




Tumefika!! Powerful Praise and worship || Powerful word of God
16/05/2022

Tumefika!!

Powerful Praise and worship || Powerful word of God



We are down to one week! It is next Friday!! Wow! Come and bring a friend with you! Come experience the REVIVAL!
12/05/2022

We are down to one week! It is next Friday!! Wow! Come and bring a friend with you! Come experience the REVIVAL!




Tomorrow and every Sunday from 10am! Come and let's worship the King together!
07/05/2022

Tomorrow and every Sunday from 10am!

Come and let's worship the King together!




Tarehe 20 May! Tunatazamia kukuona kwenye ibada hii yenye upako na nguvu kubwa za Mungu!
04/05/2022

Tarehe 20 May!

Tunatazamia kukuona kwenye ibada hii yenye upako na nguvu kubwa za Mungu!





Tuseme nini juu ya haya? Kristo akiwa upande wetu ni nani aliye kinyume nasi? Wahudumu J Braycen pamoja na Gracious Ben ...
27/04/2022

Tuseme nini juu ya haya? Kristo akiwa upande wetu ni nani aliye kinyume nasi?

Wahudumu J Braycen pamoja na Gracious Ben tayari wamethibitisha kuwa pamoja nasi katika Ibada hii kubwa ya kusifu na kuabudu.

The giants are stirred and they are AWAKEN!

20th May 2022, kuanzia saa 3 usiku - saa 12 asubuhi.

Karibu sana!!





Waamuzi 5:12 Tarehe 20 May 2022 kuanzia saa 3 usiku - 12 Asubuhi. Hakuna kiingilio!
27/04/2022

Waamuzi 5:12

Tarehe 20 May 2022 kuanzia saa 3 usiku - 12 Asubuhi.

Hakuna kiingilio!





Address

Patandi, Tengeru
Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MTBC Church Arusha, Tengeru stand posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to MTBC Church Arusha, Tengeru stand:

Share