Bible study & $ongs

Bible study & $ongs Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Bible study & $ongs, Religious organisation, Monduli District, Arusha.

Chochote unachokikosa simamia utakipoteza, kwa maana nyingine Mungu hatakupa kile unachoomba anakupa tu kile unachoweza ...
01/08/2025

Chochote unachokikosa simamia utakipoteza, kwa maana nyingine Mungu hatakupa kile unachoomba anakupa tu kile unachoweza kukisimamia. Hebu sema unaomba gari au nyumba mpya na Mungu anaangalia sehemu (eneo) ambalo halijahifadhiwa kwa hiyo kumbuka anakupa tu kile ulichothibitisha na unaweza kusimamia hivyo acha kulalamika. Unajua ukikosa kuusimamia mwili wako unaupoteza, ukikosa kusimamia watoto wako ndoa, pesa inaisha hivyo ukikosa kusimamia chochote unaipoteza. Ikiwa watu hawatajifunza kusimamia wataendelea kupoteza kile walichopokea kutoka kwa Mungu
Kwa hiyo jifunze KUSIMAMIA na epuka Kukosa kusimamia chochote katika maisha yako
Kumbuka
"Nguvu ya kufanya Maamuzi":

24/01/2024

Hello there! Let's continue building our community with interesting discussions and engaging posts.

Address

Monduli District
Arusha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bible study & $ongs posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share