F.P.C.T s CAMPs

F.P.C.T s CAMPs Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from F.P.C.T s CAMPs, Religious organisation, P. o. Box 902, Arusha.

21/02/2014

Dada mmoja alihitimu chuo na kutafuta kazi kwa muda mrefu sana kiasi cha kukaa mika 15 akiwa hana kazi. Mbaya zaidi katika kipindi hicho alipata wakati mgumu namna ya kupata fedha za kujikimu.

Siku moja akawa na elfu tano tu na akaingia katika hoteli moja ili aweze kupata chakula cha mchana, akaketi na kuagiza chakula chake.

Baada ya kuletewa akasali na kabla ya kula chakula wakaingia wazee watatu wakionekana wamechoka na wanajaa pia.
Wakamwomba kile chakula nae akawapa kwa moyo mkunjufu.

Wakamwomba wamsalie naye kwa huruma akawajibu kuwa wao walihitaji kuombewa zaidi yake na akawa anajiandaa kuondoka, lakini kabla ya kunyanyuka wakampa hela ya koini ya zamani ambayo haina maana yoyote naye akaichukua na kuondoka zake.

Akaondoka zake na kwenda kwenye bustani moja pale mjini na kuamua kulala ili ajipumzishe mchana ule huku njaa ikimuuma na uchovu wa kuzunguka akihangaika kupata kazi.

Akiwa kalala pale akaona kipande cha gazeti toleo la karibuni na kuona tangazo kuhusu hela ya koini ya zamani iliyopotea katika jumba la kifalme mwaka 1992 na k**a mtu angeiona hiyo hela angepokea zawadi ya shilingi million 100 za kitanzania.

Baada ya kuliona tangazo lile akaiangalia ile koini na kuona iko sawa sawa k**a ya tangazo lile kisha akakimbia mpaka sehemu alipoelekezwa na tangazo lile akapokea cheki yake ya shilingi milioni mia moja na kurudi mbio mpaka ile hoteli ili awaone wale wazee watatu lakini wakawa wameshaondoka.

Alipowauliza wale wahudumu wakampa barua aliyoachiwa na wazee wale na alipoifuingua ndani iliandikwa:-

"mimi ni Mungu baba wa wenye matatizo, Mungu mwenye kujua matatizo ya kila kiumbe wake.

Hakuna mtu amtumainie bwana Mungu ataachwa ateseke katika maisha yake.

Mtu aishie kwa kumnyenyekea Mungu ataishi katika kivuli cha Baraka, mafanikio, ushindi, afya njema, furaha na amani tele”

Baada ya kuisoma barua dada yule alijawa na furaha na kuondoka kurudi kwake akiwa na fedha baada ya kukaa zaidi ya miaka 15 akiwa anasaka kazi na fedha bila mafanikio huku akizidi kumshukuru MUNGU wake

Funzo:

Umebarikiwa ule mkono unatoa zaidi kuliko ule unasopokea...

Mtumainie Mungu na maisha yako yatabadilika kuanzia darasani, kazini, nyumbani, mtaani na kila sehemu...

Sala kwa ajili yako:

Mungu atakufanyia miujiza ya Baraka katika maisha yako ndani ya mwaka huu, miujiza mikubwa na yenye furaha kuliko unavyotegemea na utafurahia maisha yako........ Amen
Dada mmoja alihitimu chuo na kutafuta kazi kwa muda mrefu sana kiasi cha kukaa mika 15 akiwa hana kazi. Mbaya zaidi katika kipindi hicho alipata wakati mgumu namna ya kupata fedha za kujikimu. Siku moja akawa na elfu tano tu na akaingia katika hoteli moja ili aweze kupata chakula cha mchana, akaketi na kuagiza chakula chake. Baada ya kuletewa akasali na kabla ya kula chakula wakaingia wazee watatu wakionekana wamechoka na wanajaa pia. Wakamwomba kile chakula nae akawapa kwa moyo mkunjufu. Wakamwomba wamsalie naye kwa huruma akawajibu kuwa wao walihitaji kuombewa zaidi yake na akawa anajiandaa kuondoka, lakini kabla ya kunyanyuka wakampa hela ya koini ya zamani ambayo haina maana yoyote naye akaichukua na kuondoka zake. Akaondoka zake na kwenda kwenye bustani moja pale mjini na kuamua kulala ili ajipumzishe mchana ule huku njaa ikimuuma na uchovu wa kuzunguka akihangaika kupata kazi. Akiwa kalala pale akaona kipande cha gazeti toleo la karibuni na kuona tangazo kuhusu hela ya koini ya zamani iliyopotea katika jumba la kifalme mwaka 1992 na k**a mtu angeiona hiyo hela angepokea zawadi ya shilingi million 100 za kitanzania. Baada ya kuliona tangazo lile akaiangalia ile koini na kuona iko sawa sawa k**a ya tangazo lile kisha akakimbia mpaka sehemu alipoelekezwa na tangazo lile akapokea cheki yake ya shilingi milioni mia moja na kurudi mbio mpaka ile hoteli ili awaone wale wazee watatu lakini wakawa wameshaondoka. Alipowauliza wale wahudumu wakampa barua aliyoachiwa na wazee wale na alipoifuingua ndani iliandikwa:- "mimi ni Mungu baba wa wenye matatizo, Mungu mwenye kujua matatizo ya kila kiumbe wake. Hakuna mtu amtumainie bwana Mungu ataachwa ateseke katika maisha yake. Mtu aishie kwa kumnyenyekea Mungu ataishi katika kivuli cha Baraka, mafanikio, ushindi, afya njema, furaha na amani tele” Baada ya kuisoma barua dada yule alijawa na furaha na kuondoka kurudi kwake akiwa na fedha baada ya kukaa zaidi ya miaka 15 akiwa anasaka kazi na fedha bila mafanikio huku akizidi kumshukuru MUNGU wake Funzo: Umebarikiwa ule mkono unatoa zaidi kuliko ule unasopokea... Mtumainie Mungu na maisha yako yatabadilika kuanzia darasani, kazini, nyumbani, mtaani na kila sehemu... Sala kwa ajili yako: Mungu atakufanyia miujiza ya Baraka katika maisha yako ndani ya mwaka huu, miujiza mikubwa na yenye furaha kuliko unavyotegemea na utafurahia maisha yako........ Amen

08/09/2011

Inasemakana kwamba marekani dini kubwa ni waprotestandi hebu tusaidiane hapa kidogo hii Dini ni ya aina gani maana Dini ya pili ni Roma tupeane Mchakato hapo!

05/09/2011

hellow my people hw u do?
so quite whats wrong?

05/09/2011

hellow my people tuko pamoja mbona kimya sana?

09/08/2011

jimmy Batenzi is back to Tz,he want to established a new camp to Tabora or Mwanza,pls my people we have to company him my people my any means.

05/07/2011

Join with Free Pentekoste church Tanzania and sharing your idels and word of God and daily weekly prayers, also showing different camps performed by f.p.c.t youth in different corners in Tanzania.
MOSTLY WELL COME AND GOD BLESS U A LOT,
ENJOY

Address

P. O. Box 902
Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when F.P.C.T s CAMPs posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share