Rohi production.

Rohi production. Karibu kwenye Ukurasa wetu. Rohi Ministries ni Ukurasa ulioandaliwa na Kanisa kwa Lengo la kufikisha Injili kwenu chakufanya usiwe mbali na Kurasa zetu Asante

Bado Mungu anajambo kwaajili yako Leo nisiku yetuu ya mwisho wewe mwenye shauku yakuvuka ng'ambo ya pili muda wako ndo h...
28/11/2021

Bado Mungu anajambo kwaajili yako Leo nisiku yetuu ya mwisho wewe mwenye shauku yakuvuka ng'ambo ya pili muda wako ndo huu ungana nasi kwenye Ibada kubwa sana itakayoanzaa saa 4 asubuhi Nakusihi Usikose tafadhali.

  tunaogelea kwenye Mafuta ambayo Mungu ameyaachilia tangu siku ya kwanza ya Kongamano letu. Tumemuona Mungu akiponya wa...
27/11/2021

tunaogelea kwenye Mafuta ambayo Mungu ameyaachilia tangu siku ya kwanza ya Kongamano letu. Tumemuona Mungu akiponya watu tumeona MUNGU akigusa maisha ya watu kwa namna ya Ajabu Nikualike wewe ambaye bado hujaweza kufika kwasiku mbili zilizopita leo tena Kongamano letu linaendelea usikose njoo Ukutane na Mungu mwenye Nguvu.
Muujiza wako upo karibu sana na wewe.

Mungu ni mwema siku yetu ya kwanza ya Kongamano lililoanza jana Hakika tulimuona Mungu na leo tunaendelea Nakusihi usiko...
26/11/2021

Mungu ni mwema siku yetu ya kwanza ya Kongamano lililoanza jana Hakika tulimuona Mungu na leo tunaendelea Nakusihi usikose njoo MUNGU akuhudumie. Tukutane saa 9 alasiri .

Bado masaa machache sana jiandae kwaajili ya kukutana na Mungu. Hakika leo utarudi nyumbani na  muujiza wako. Tukutane s...
25/11/2021

Bado masaa machache sana jiandae kwaajili ya kukutana na Mungu. Hakika leo utarudi nyumbani na muujiza wako. Tukutane saa 9 Alasiri

Masaa yamebaki machache sana andaa Moyo wako Kukutana na Mungu nakusihi usikose kongamano hili.Wagonjwa na wenye shida w...
24/11/2021

Masaa yamebaki machache sana andaa Moyo wako Kukutana na Mungu nakusihi usikose kongamano hili.
Wagonjwa na wenye shida wataombewa.
Pia Usiache mtu nyumbani Tayari maji yametibuliwa ni sisi kuingia tu. Tukutane Kesho saa 9 Alasiri

Alhamis hii tunaanza ukurasa mpya. Jiandae mtu wa Mungu vyote vilivyoibiwa na shetani Vinarejeshwa tena kwa kishindo.
24/11/2021

Alhamis hii tunaanza ukurasa mpya. Jiandae mtu wa Mungu vyote vilivyoibiwa na shetani Vinarejeshwa tena kwa kishindo.

Piga Moyo Kondee Muujiza wako umekaribia.Kumbuka imesalia siku 1 tu kila mmoja aliyekuwa tayari Kukutana na MUNGU Aweze ...
23/11/2021

Piga Moyo Kondee Muujiza wako umekaribia.
Kumbuka imesalia siku 1 tu kila mmoja aliyekuwa tayari Kukutana na MUNGU Aweze kupokea Muujiza wake na kila jambo ambalo alikuwa akilingoja kutoka kwake nakusihii sana Usikose hizi siku nne. Hiyo shida yako imekuwa shida kwasababu hujakutana na MUNGU Muweza wa yote. Panga ratiba zako vyema Alhamisi hii tukutane kanisani.

Ni siku nne za kuandika historia mpya kwenye maisha yako. Biblia imeweka wazi kuwa Mungu hulituma neno lake na halitumi ...
20/11/2021

Ni siku nne za kuandika historia mpya kwenye maisha yako. Biblia imeweka wazi kuwa Mungu hulituma neno lake na halitumi bure nichukue fursa hii kukuhakikishia kuwa Lipo neno lenye Uzima, lenye majibu, lenye mtoto uliyemuomba Mungu, Neno lenye majibu ya Kazi uliyoiomba, Neno lenye Mume bora na mke mwema unayemsubiri ni tarehe 25 hadi 28 November 2021 Usikose kongamano hili hakika tunaenda kuandika Historia nyingine MPYA. BARIKIWA SANA.

Hallelujah hallelujah Mtu wa Mungu niimani yangu kuwa Mungu bado anakutunza siku ya leo nichukue nafasi hii kukualika kw...
29/10/2021

Hallelujah hallelujah Mtu wa Mungu niimani yangu kuwa Mungu bado anakutunza siku ya leo nichukue nafasi hii kukualika kwenye Ibada kubwa sana ya kusifu na Kuabudu yenye Jina la Prison Break season 2 itakayofanyika siku ya Jumapili hii tarehe 31 kuanzia saa 8 mchana na kuendelea watumishi wa Mungu mbalimbali watakuwepo kutuhudumia pia Baba yetu Mtume pia Mungu amempatia neno zuri kwaajili yetu hakika siku hiyo Magereza yote yatavunjika njoo uungane na watumishi wa MUNGU hakika hutabaki k**a ulivyo. Karibu sana.

Bwana Yesu Asifiwe sana Rohi Family nichukue muda huu mzuri kukualika siku ya Kwenye Ibada Kubwa sana iliyojaa Nguvu za ...
16/10/2021

Bwana Yesu Asifiwe sana Rohi Family nichukue muda huu mzuri kukualika siku ya Kwenye Ibada Kubwa sana iliyojaa Nguvu za Mungu. Kesho usikose Mbingu zipo tayari kutuhudumia. Mtume na wachungaji wetu wapo tayari kutuongoza . Usikose Karibu sana

Kesho siyo siku kukosa karibu sana  tupokee kutoka kwa Mungu. Mbingu zipo tayari kwaajili yetu.
12/10/2021

Kesho siyo siku kukosa karibu sana tupokee kutoka kwa Mungu. Mbingu zipo tayari kwaajili yetu.

Tukutane Kesho tumuabudu Mungu pamoja.Mbingu zipo Tayari kwaajili yetu
07/08/2021

Tukutane Kesho tumuabudu Mungu pamoja.
Mbingu zipo Tayari kwaajili yetu

Address

Sekei
Arusha
P.OBOX2771

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Rohi production. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category