Prophetess Analyce Ichwekeleza

Prophetess Analyce Ichwekeleza This is the only OFFICIAL page of PROPHETESS ÀNALYCE ICHWEKELEZA ( SUPER MAMA)

03/03/2024
02/03/2024

Karibu kwenye ibada ya kusifu na kuabudu 3/3/2024 saa 3:30 Asubuhi Ebenezer Revival Church Muriet Dampo.
Waimbaji watakuwepo.

30/12/2023

Bwana Yesu asifiwe. Napenda kuwakaribisha ktk ibada ya mkesha wa kupokea mwaka mpya tarehe 31/12/2023 kuuanzia mbili usiku mpaka saa sita usiku kwenye kanisa la Ebenezer Revival Muriet - Arusha.
Nioo tumshukuru na kumsifu kwa uzima na mengi aliyotutendea. 🔥🔥🔥

21/03/2022

K**a mama yetu Mheshimiwa Raisi wa Tanzania ametuonyesha mfano Kwa kuweza kuongoza nchi. Kwa hiyo sisi wanawake kuiongoza taasisi, kanisa, kampuni, biashara, kazi, watoto, familia ni rahisi sana. Wanawake tunaweza hatuhitaji kuwezeshwa. Kila mwanamke ajiongeze tu.

Karibu kwenye kongamani la vijanaLitakalo fanyika katika kanisa la Ebenezer Revival International Ministries lilikopo Mu...
13/09/2021

Karibu kwenye kongamani la vijana
Litakalo fanyika katika kanisa la Ebenezer Revival International Ministries lilikopo Muriet arusha Tanzania

Welcome to the youth conference which will be on 15 -19 september, 2021. Location : muriet Arusha Tanzania
05/09/2021

Welcome to the youth conference which will be on 15 -19 september, 2021.
Location : muriet Arusha Tanzania

No matter what make yourself happy all the time. With my daughter very happy for the life God has given us.
27/08/2021

No matter what make yourself happy all the time. With my daughter very happy for the life God has given us.

It’s better to be with people who love you than people who hate you. 🥰🙏🏾
21/06/2021

It’s better to be with people who love you than people who hate you. 🥰🙏🏾

Address

MURIET
Arusha

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Prophetess Analyce Ichwekeleza posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Prophetess Analyce Ichwekeleza:

Share