Mchungaji Yusto Swai

Mchungaji Yusto Swai Karibu Uabudu nasi katika Ibada zetu Alhamis Ijumaa, Jumamosi na Jumapili Disciple Making Centre Church Arusha kwa Mch. Yusto Swai.

23/10/2025

NGUVU YA KINYWA
NGUVU YA KUTAMKA

22/10/2025

Wazo ni Mbegu.
Je Unazalisha Mbegu gani?
Ni aina gani ya mawazo umeyapa nafasi ndani yako?

22/10/2025

Usiangalie makosa yako ya jana ukaanza kujidharau leo. Mungu hakukosea alipokuumba aliona kitu cha kipekee ndani yako ambacho dunia hii inahitaji. 💎

Kuna watu wanaweza kukuona k**a wa kawaida, lakini machoni pa Mungu, wewe ni hazina ya thamani isiyopimika. ❤️

Simama tena. Inuamacho. Tambua wewe ni mtu wa maana, una kusudi, una thamani kubwa kuliko dhahabu. ✨

18/10/2025

Karibu Uabudu Nasi Kila
Jumapili Ibada
Alhamis,
Ijumaa,
Jmosi Maombi na Maombezi
Mahali ni DMC Church Dampo Jijini Arusha

01/06/2025

Address

DAMPO
Arusha
0000

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mchungaji Yusto Swai posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category